Headcorner
Senior Member
- Nov 26, 2020
- 188
- 277
Aliyekuwa kocha wa timu ya Simba ya Tanzania Sven Vandenbroeck amejiunga na timu ya Far Rabat ya nchini Morocco
Weka rejea mkuu!Aliyekuwa kocha wa timu ya Simba ya Tanzania Sven Vandenbroeck amejiunga na timu ya Far Rabat ya nchini Morocco
Figisu za MoSafi kabisa na aliondoka Simba kwa matatizo ya kifamilia.
HahahahahaSafi kabisa na aliondoka Simba kwa matatizo ya kifamilia.
Gudi mzeeAnwar Binde
Simba au Paka SC?Safi kabisa na aliondoka Simba kwa matatizo ya kifamilia.
Gabachori lina matatizo sanaFigisu za Mo
Paka jike tena.Simba au Paka SC?
Sidhani kama atadumu huko
Mlikua mnavizia kumtimua nyinyi....... Hakuna team ambayo inaweza kumwacha Kocha aliyeipeleka team Makundi Africa.Baada ya miezi 6 watamtimua.
Baada ya miezi 6 watamtimua.
Narudia tena,Huyo hamalizi mkataba na FAR Rabat hana Tactical za kutoboa kwa mpira wa Kaskazini mwa AfricaMlikua mnavizia kumtimua nyinyi....... Hakuna team ambayo inaweza kumwacha Kocha aliyeipeleka team Makundi Africa.
Gabachori lina matatizo sana
OFFICIAL:kutoka source gani?