Aliyekuwa Katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue sasa amestaafu bila kupangiwa kazi nyingine!

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,242
34,903
Aliyekuwa Katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue sasa amestaafu bila kupangiwa kazi nyingine kama alivyoahidiwa na Rais John Magufuli siku aliyomteua Balozi Injinia John Kijazi kushika wadhifa huo na hivyo Balozi Sefue kutolewa kwa madai ya kupangiwa kazi nyingine.

Tarehe 6 mwezi Machi Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli alimteua John William Kijazi kushika wadhifa wa Katibu Mkuu kiongozi wadhifa ambao hapo kabla ulikuwa ukishikiliwa na Balozi Ombeni Sefue.Balozi Sefue alieteuliwa tena na Rais Magufuli Desemba 20, 2015 kuendelea kushika wadhifa huo kwa mkataba wa mwaka mmoja baada ya utumishi wake wa umma kuisha sambamba na makatibu wakuu na manaibu 50.

Katika uteuzi ule wapo makatibu wakuu na manaibu walioachwa akiwemo Dkt.Donald Mbando (Afya),Balozi Liberata Mulamula (Mambo ya Nje), Omari Chambo (Nishati na Madini), Jumanne Sagini(Tamisemi) na Joyce Mapunjo (Afrika ya Mashariki).Balozi Sefue alirudishwa tena lakini ghafla Machi 6 alisimamishwa na kumpisha Kijazi kwa maelezo kuwa atapangiwa kazi nyingine.

Lakini sasa imethibitika kuwa Balozi Sefue hatapangiwa kazi nyingine na kwamba muda wake wa kustaafu ulifika na hivyo hawezi kuendelea tena na utumishi wa umma.Akijibu maswali ya mwandishi wa gazeti la Mwananchi juu ya hatma ya makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu walioahidiwa kupangiwa kazi nyingine ,Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora) Dkt Laurean Ndumbaro alisema kuwa makatibu wakuu wote wamepata barua zao na hakuna ambae hana kazi isipokuwa kwa wale waliostaafu kwa mujibu wa sheria kama Balozi Sefue, Balozi Mulamula na Chambo ambao hana uhakika kama wanaweza kupangiwa majukumu mengine.

Swali ni je kama aliongezewa mwaka mmoja wa mkataba katika utumishi wa umma alipotolewa kwenye nafasi ile mara baada ya ueuzi kutenguliwa na Kijazi kuchukua nafasi yake mkataba wake ulivunjwa?Kama haukuvunjwa analipwa mshahara mpaka sasa kwa kazi gani anayoifanya?Kama ulivunjwa je Rais alimdanganya?

Chanzo: Tanzania Investiment Adventures
 
TANZANIA INVESTEMENT ADVENTURERS.

Ndugu mwanahabari huru, kuhoji kwako hilo ni sawa ili upate majibu, lakini sidhani kama watakujibu zaidi ya blabla. Hao watu wanajuana na wanawasiliana muda wote, wana chanel zao za kuulizia hizo ahadi zao, mimi nafikiri tujikite zaidi katika kuhoji ahadi za viongozi kwa watanzania wanyonge, yaani wanachi wa kawaida je waliyohaidiwa yanatimizwa? hilo ndio muhimu. Hao akina Balozi Sefue wamesha kula na kulitumikia taifa vya kutosha wapishe damu mbichi sasa. Kama hawaja choka wafungue ofisi zao binafsi kwa ajili ya consultation kutokana na uzoefu wao. Hata kama serikali itahitaji ushauri wao basi wachukuliwe au wapewe zoezi hilo la ushauri kwa malipo ya kazi hiyo wakiwa wanakatwa kodi pia full stop.
 
TANZANIA INVESTEMENT ADVENTURERS.

Aliyekuwa Katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue sasa amestaafu bila kupangiwa kazi nyingine kama alivyoahidiwa na Rais John Magufuli siku aliyomteua Balozi Injinia John Kijazi kushika wadhifa huo na hivyo Balozi Sefue kutolewa kwa madai ya kupangiwa kazi nyingine.

Tarehe 6 mwezi Machi Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli alimteua John William Kijazi kushika wadhifa wa Katibu Mkuu kiongozi wadhifa ambao hapo kabla ulikuwa ukishikiliwa na Balozi Ombeni Sefue.Balozi Sefue alieteuliwa tena na Rais Magufuli Desemba 20, 2015 kuendelea kushika wadhifa huo kwa mkataba wa mwaka mmoja baada ya utumishi wake wa umma kuisha sambamba na makatibu wakuu na manaibu 50.

Katika uteuzi ule wapo makatibu wakuu na manaibu walioachwa akiwemo Dkt.Donald Mbando (Afya),Balozi Liberata Mulamula (Mambo ya Nje), Omari Chambo (Nishati na Madini), Jumanne Sagini(Tamisemi) na Joyce Mapunjo (Afrika ya Mashariki).Balozi Sefue alirudishwa tena lakini ghafla Machi 6 alisimamishwa na kumpisha Kijazi kwa maelezo kuwa atapangiwa kazi nyingine.

Lakini sasa imethibitika kuwa Balozi Sefue hatapangiwa kazi nyingine na kwamba muda wake wa kustaafu ulifika na hivyo hawezi kuendelea tena na utumishi wa umma.Akijibu maswali ya mwandishi wa gazeti la Mwananchi juu ya hatma ya makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu walioahidiwa kupangiwa kazi nyingine ,Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora) Dkt Laurean Ndumbaro alisema kuwa makatibu wakuu wote wamepata barua zao na hakuna ambae hana kazi isipokuwa kwa wale waliostaafu kwa mujibu wa sheria kama Balozi Sefue, Balozi Mulamula na Chambo ambao hana uhakika kama wanaweza kupangiwa majukumu mengine.

Swali ni je kama aliongezewa mwaka mmoja wa mkataba katika utumishi wa umma alipotolewa kwenye nafasi ile mara baada ya ueuzi kutenguliwa na Kijazi kuchukua nafasi yake mkataba wake ulivunjwa?Kama haukuvunjwa analipwa mshahara mpaka sasa kwa kazi gani anayoifanya?Kama ulivunjwa je Rais alimdanganya?

Chanzo: Tanzania Investiment Adventures
Mkuu fikiria vitu vyenye tija kwa nchi yetu achana na kuwaza watu ambao wameshajijenga na wana nafasi zao kwenye hii nchi mfano balozi sefu amekuwa balozi kwa muda mrefu sana hata huo ukatibu akikosa jua kuna kazo nyingi tu zipo kwenye serikali sio lazima ww kujua hata balozi malumalu usishangai akapewa ubalozi belgium
 
Badala ya kuulizia mambo ya maana unaulizia watu ambao maisha yao yapo vizuri. Hadi vitukuu vyao havitaweza kuja kushindia mlo mmoja.
Hata ale milo ishirini kwa dakika lakini aibu aliyoipata ya kung'olewa kwa style ile itajadiliwa na vizazi kwa vizazi .
 
TANZANIA INVESTEMENT ADVENTURERS.

Aliyekuwa Katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue sasa amestaafu bila kupangiwa kazi nyingine kama alivyoahidiwa na Rais John Magufuli siku aliyomteua Balozi Injinia John Kijazi kushika wadhifa huo na hivyo Balozi Sefue kutolewa kwa madai ya kupangiwa kazi nyingine.

Tarehe 6 mwezi Machi Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli alimteua John William Kijazi kushika wadhifa wa Katibu Mkuu kiongozi wadhifa ambao hapo kabla ulikuwa ukishikiliwa na Balozi Ombeni Sefue.Balozi Sefue alieteuliwa tena na Rais Magufuli Desemba 20, 2015 kuendelea kushika wadhifa huo kwa mkataba wa mwaka mmoja baada ya utumishi wake wa umma kuisha sambamba na makatibu wakuu na manaibu 50.

Katika uteuzi ule wapo makatibu wakuu na manaibu walioachwa akiwemo Dkt.Donald Mbando (Afya),Balozi Liberata Mulamula (Mambo ya Nje), Omari Chambo (Nishati na Madini), Jumanne Sagini(Tamisemi) na Joyce Mapunjo (Afrika ya Mashariki).Balozi Sefue alirudishwa tena lakini ghafla Machi 6 alisimamishwa na kumpisha Kijazi kwa maelezo kuwa atapangiwa kazi nyingine.

Lakini sasa imethibitika kuwa Balozi Sefue hatapangiwa kazi nyingine na kwamba muda wake wa kustaafu ulifika na hivyo hawezi kuendelea tena na utumishi wa umma.Akijibu maswali ya mwandishi wa gazeti la Mwananchi juu ya hatma ya makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu walioahidiwa kupangiwa kazi nyingine ,Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora) Dkt Laurean Ndumbaro alisema kuwa makatibu wakuu wote wamepata barua zao na hakuna ambae hana kazi isipokuwa kwa wale waliostaafu kwa mujibu wa sheria kama Balozi Sefue, Balozi Mulamula na Chambo ambao hana uhakika kama wanaweza kupangiwa majukumu mengine.

Swali ni je kama aliongezewa mwaka mmoja wa mkataba katika utumishi wa umma alipotolewa kwenye nafasi ile mara baada ya ueuzi kutenguliwa na Kijazi kuchukua nafasi yake mkataba wake ulivunjwa?Kama haukuvunjwa analipwa mshahara mpaka sasa kwa kazi gani anayoifanya?Kama ulivunjwa je Rais alimdanganya?

Chanzo: Tanzania Investiment Adventures

kwanini povu linakutoka kumjadili aliestaafu ajira badala ya kuwajadili wanaotafuta ajira? Do you have personal interest?
 
Back
Top Bottom