Aliyekuwa diwani wa CHADEMA asema ndani ya CHADEMA kuna mgogoro, amuonya Mashinji viatu vya Slaa havimtoshi

Demokrasia ndio hiyo amechoka udikteta wa cdm acha aende anakohitaji hakuna haja ya kumsema vibaya alienda kwa mapenzi yake anatoka kwa mapenzi yake diwani tuheshimu maamuzi yake
 
Chama kikuu cha upinzani kudumu robo karne bila kushika dola ni sawa na mwanamke aliyefikia menopause bila kupata mtoto.

Kwa hiyo miaka 55 ya CCM kutawala bila kuweka impact kwa TAIFA yaani kila siku ninafuaa ya jana ni sawa na Mwanaume shoga au??
 
Kwa hiyo miaka 55 ya CCM kutawala bila kuweka impact kwa TAIFA yaani kila siku ninafuaa ya jana ni sawa na Mwanaume shoga au??
Tanzania imepiga hatua kubwa sana kimaendeleo chini ya hizi serikali zinazokosolewa na wapinzani.

Kusema heri ya Jana kuliko ya leo ni kuchelewa Ku appreciate mema ya leo.
 
Familia kama taasis ndogo ina migogoro ya hapa na pale. Taasis kubwa kma chadema itakosa migogorn kweli?? Uyu nae migogoro n sehem ya taasis. Anadhan alkoenda hakuna migogor? Juz tu waltwanga na vitu kuonesha kua wamefail kuimalza ndan ya chama
 
Kuna watu mpaka leo hawajawahi kujua ni kwa nini sisi watanzania tunailalamikia zaidi CCM na si Chadema. Wanafikiri, Chadema nayo inapaswa kulalamikiwa kama inavyolalamikiwa CCM. Kama mnataka kupata ahueni, kuweni na nyinyi Chama cha upinzani ili mfanye kazi ya Watchdog wanayoifanya Chadema. Kwa sasa, mtaendelea kusakamwa kwa sababu maamuzi yenu ya leo ndiyo yanayoleta athari ya moja kwa moja kwa maisha ya watanzania. Chadema hata wakigombana kila siku kwenye chama chao, who cares?
 
Ni lini uliwahi kukiri CDM ni jasiri hadi leo uukane huo ujasiri? Mmekaa mnakenua tu..., "Slaa alikuwa boraaaa..."! Ni lini mlisema alikuwa shujaa pindi yupo CDM? Nyama ya mbwa koko ninyi!!!
Wee ropoka tu huku badala mfanye mpango Shonza arudi bavicha!
 
Wee ropoka tu huku badala mfanye mpango Shonza arudi bavicha!
You must be a real freak and a joke as well! Whom do you talk about? That empty masega ya asali? Hana utamu wowote. Abaki na vibaka wenziye wa CCM, panamfaa!Yule old dame ni "political gold digger"! Kalagabaho!
 
hii track ya madiwani kuhama tuifanye zilipendwa, tufanye kazi sasa. Maana waliahidi kuunga mkono juhudi zinazofanywa na serikali, watimize ahadi yao sasa kwa kufanya kazi, na madhaifu ya chadema wawaachie wao wenyewe.
mkulu kachapwa za uso baada ya kutengeneza movie yake ya propaganda sijui ni pamoja na polepole na Rc na Dc kujaribu kuibomoa Chadema Arusha sasa ushamba wao ukawekwa hadharani mpaka wameingia mitini
 
Back
Top Bottom