Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Aliyekuwa Diwani wa kata ya Kiranyi Wilaya ya Arumeru aliyemaliza Muda wake Jun Kupitia Chadema Mhe JOHN EDWAR SENEU ( JOMBI) Leo amerudi CCM na kupokelewa na viongozi wa Tawi la ilkurei kata ya Kiranyi , Mapokezi ya Mhe JOMBI yameshudiwa na Sekretariet ya CCM Wilaya wakiongozwa na CDE CAMILA KIGOSI katibu wa CCM Wilaya Arumeru, NICHOLOUS SAWA Katibu Mwenezi wa CCM Wilaya Arumeru
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025