AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,426
- 1,402
appeals uwe na sababu za msingi ,la sivyo ni yale yale,,,kama aligusa government basi anaweza appeal,pia kama elimu yake ilikuwa financed,anamzazi mmoja,wazazi wastaafu,na zingine.ila kama anawazazi wote wawili ,na walimsomesha private basi ni yale yale tu....Mungu yup ,mtegemee,na anahusika ndugu ,nnje ya hapo ni yale yaleNashukuru. Kwakuwa hayupo hata kwenye listi hivyo ni maumivulabda ajaribu ku appeal huenda akabahatika