ALIYEKO MOROGORO

ALIYEKO MOROGORO

Wapenda ngono bana.

Jukwaa la mahusiano..mahusiano sio lazima yawe ya mapenzi. Au me na ke.

Mahusiano yababa na wanawe..mama na baba..rafiki kwa rafiki.

Acha kuwaza matus
Ahsante kwa kunisaidia ahsante sana kama hutajali nitumie namba yako inbox nikutumie hela ya soda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mpendwa kama nimekukwaza kwa mimi kukurahisishia kupata mtu wa kukutembeza kwa kutumia uzi wako wa awali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi wangu wa awali hauhusiani na mimi kutafuta mwenza, umenifanya kama muhangaikaji wa kutafuta mwanaume kila mkoa and I swear atakayepata bahati ya kunitembeza Leo nahitaji aje awasimulie and I wish ungekuwa wewe.

Sorry mpendwa, kuhusu mimi kukutembeza sidhani kama linawezekana maana nipo kijiji cha gwarama wilaya ya kakonko mkoani kigoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom