2. Kwa nini ndugu yake ameshindwa kuomba msaada huko aliko wa makomandoo kadhaa kwa ajili ya kumwokoa miongoni mwa wazalendo wa taifa letu?
3. Upande wa wazalendo hamna wenye utaalam wa Drones?
Akili zake nyingi ziko wapi? Mwenye akili asingekaa Kunduchi/ Ununio ma kuanza kuinanga Serikali. Hii teknolojia ya simu inakuonyesha ulipo, lazima udakwe