Hahaahuyo siyo Mtanzania wala mkenya! huyo ni mpemba!!!! aliulizwa swali!
Achague upande mmoja wa kubomoa vyumba ktka nyumba yake kati ya Kenya na Tanzania! yeye akajibu Bora abomoe "nyumba nzima" Aende zake PEMBA
KabisaMaendeleo hayana nchi
huyo siyo Mtanzania wala mkenya! huyo ni mpemba!!!! aliulizwa swali!
Achague upande mmoja wa kubomoa vyumba ktka nyumba yake kati ya Kenya na Tanzania! yeye akajibu Bora abomoe "nyumba nzima" Aende zake PEMBA
Wapemba hawana nchi??huyo siyo Mtanzania wala mkenya! huyo ni mpemba!!!! aliulizwa swali!
Achague upande mmoja wa kubomoa vyumba ktka nyumba yake kati ya Kenya na Tanzania! yeye akajibu Bora abomoe "nyumba nzima" Aende zake PEMBA
alokwambia mpemba ni mtanzania umekaririshwa! wale ni taifa jingine kabisa!ndiyo maana ukichukua kitu kwao kuleta bongo lazima ulipie ushuruHivi Mpemba sio Mtanzania?
Sijui ulienda kusomea ujinga shule?
This ignorance is too gross!
alokwambia mpemba ni mtanzania umekaririshwa! wale ni taifa jingine kabisa!ndiyo maana ukichukua kitu kwao kuleta bongo lazima ulipie ushuru
msamehe aseeMbuzi wewe...
Definition ya taifa ni "ukilipia ushuru mahali"?
Hiyo definition ya taifa?
Mtu wa mainland China anapolipia ushuru akitoa kitu Hong Kong inamaanisha Hong Kong sio sehemu ya taifa la China?
Taifa jingine umesema wewe kwa akili zako binafsi...sio rekodi rasmi zilizopo!
Kwahiyo Pemba ni "Taifa la Pemba"?
Mpemba anabeba passport imeandikwa "Passport ya Pemba"?
Mbuzi wa maziwa kabisa.......
Ficha ujinga wako onyesha werevu wako...Kitu umesoma kwa miaka 14 leo unajifanya hamnazo!
Ni Wazanzibàri.
Mbuzi wewe...