Duh kweli ualimu ni kazi ya hovyo Yani trh 11 ushaanza kuuliza payroll inamaana salary ishakata khaaa kazi Gani hiyo Sasa unazidiwa Hadi na fundi ujenziWalimu msione aibu . Achaneni na huyu mpuuzi anaewadharaulisha hapa daily. Ile ni laana tangu kuzaliwa.
Sisi walimu tunajijua na tunajitambua na tunafanya maendeleo.
Bandari imeuzwa, ndio...na hatuna la kufanya. Cha msingi tumuombe aliyeuza lile fungu atukumbuke hii august. Inasemekana eti watajumlisha zote mbili. Na iwe hivyoo.
Walimu tuko tayari kufa na kupona kumpigania Mama. Tutatembea nae, tutakula nae na tutalala nae mbelee..
Tuwekeeni Payroll.



