wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,008
- 28,342
Mwanasayansi wa Ufaransa Étienne-Émile Baulieu aliyetengeneza kidonge cha kutoa mimba amefariki akiwa na umri wa miaka 98.
Mwanasayansi huyo alisaidia kutengeneza dawa ya kumeza ya RU-486, ambayo pia inajulikana kama mifepristone, ambayo imewapa mamilioni ya wanawake ulimwenguni kote njia mbadala salama na ya bei nafuu ya utoaji mimba kwa upasuaji.
Dk Baulieu alikufa nyumbani kwake huko Paris mnamo Ijumaa ya tarehe 30,mei 2025.
Simone Harari Baulieu alisema "Utafiti wake uliongozwa na dhamira yake ya maendeleo kupitia sayansi, kujitolea kwake kuwapa uhuru wanawake na hamu yake ya kumuwezesha kila mtu kuishi maisha bora na marefu."