Jackline Grayson, ambaye amefariki dunia katika Hospitali ya Mkoa wa Mtwara Ligula baada ya kurudishwa nchini kutoka Msumbuji, anadaiwa kuwa na wadogo zake wawili wanaoishi Ubungo Maziwa, Dar es Salaam na kwamba ni mwenyeji wa Njombe.http://www.mwananchi.co.tz/…/1597578-3822856-sqv…/index.html
www.mwananchi.co.tz
mwananchi.co.tz
www.mwananchi.co.tz
mwananchi.co.tz