Aliyefanya interview CRDB...

Madewa

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
465
168
Habari wana Jf...
Waungwana kwa aliyefanya au anayejua matokeo ya interview ya IT Officer Crdb tar 13 sept,anijuze tafadhali...
 
Habari yako Madewa na wana Jf
Mimi sikufanya hiyo interview ila kuna msela wangu ameajiriwa juzijuzi hapo CRDB km IT officer na amefanya interview mwezi wa sept ila sijui tarehe ngapi.
 
Habari yako Madewa na wana Jf
Mimi sikufanya hiyo interview ila kuna msela wangu ameajiriwa juzijuzi hapo CRDB km IT officer na amefanya interview mwezi wa sept ila sijui tarehe ngapi.

E bwana poa,nashukuru kwa taarifa mkuu,vp unaweza nisaidia kunithibitishia vizuri hizo info,manake kuna dogo wangu alifanya hiyo interview af anatakiwa kwenda chuo,sasa anashindwa kujua kama washawachukuwa ama laa ili alipe fees chuoni wiki ijayo...!
 
Back
Top Bottom