Adhabu hiyo ni majanga lakini hiyo hook ikichomoka hapo sipati picha
Haichomoki hiyo.. . . .Iliwekwa wakati nyumba injengwa max weight 40kgs . . ., .Adhabu hiyo ni majanga lakini hiyo hook ikichomoka hapo sipati picha
Tatafuta fundi mwashi anifungie moja home japo watoto wote hawapo
Dogo janja kanipigia LEVI'S kitu BLUE mbichi, chini kamaliza na NIKE air
Osh Kosh B'Gosh. . . . . . . .unaweza jua babake ni mtu wa aina gani
Kabisaaa! Na huyu karithi tabia za babake, sema dogo kaanza mapema
Nilifungwa kamba mguuni wakaifunga kitandani kosa ilikuwa ndefu nikawekewa maji na chakula wakafunga mlango wakindelea na shughuli zao, baada ya muda wakafungua na kunikuta juu yakabati bi mkubwa akatoa "mfungueni haraka huyo asituletee kesi"