Propolis
Member
- Aug 21, 2016
- 34
- 50
Kama umechaguliwa Sua karibu na uulize hapa. Nitakusaidia kwa ushauri maana hata mimi nilikuwa Mdau wa chuo hicho nilisoma hapo BSc Forestry. kwa hiyo chuo hicho ninawafahamu vizuri. Chuo ni kizuri na Elimu ni ya kiwango kizuri kipindi nasoma DVC aliwahi kusema Asilimia zaidi ya 70%ya staff yake ni PhD na professors jamani karibuni Sua.