Unapo Fanya uchambuzi wa mfumo gani utumike (Identification Code) lazima uhakikishe vitu hivi unavizingati.
1. Mfumo wako unataka uwe na muda gani bila namba kujirudia.
2. Mfumo wako lazima ubebe taarifa , mfano nikisoma namba ya gari nipate taarifa Fulani za gari, sisi hapa utakuta rangi ndio zinatumika.
na mengine mengi.
nikianza na hill kwanza , nimeshtuka sana kuona hadi sasa tumesha anza kutumia namba za DKX XXX INA maana miaka michache ijayo itabidi tunaanze upya maana namba zitakua zote zimesha tumika.
Je aliyependekeza mfumo wa namba za magari alikua anafikiria jambo hili?
Mimi hata sielewi unachokosoa. Ukumbuke kuwa mfumo huu ulihamiwa kutoka wa zamani, kwa hiyo magari mengi yaliingizwa kwa pamoja kutoka namba za zamani kuja mpya. Pili, hapo awali piki piki nazo zilisajiliwa kwa namba hizi hizi, lakini sasa piki piki zimeondolewa kwa hiyo kasi ni ndogo.
Tangu namba DAA ianze ni miaka sasa maana nina gari natumia imesajiliwa namba DCW mwaka 2014 na hapo namba ziliwahishwa na boda boda...hebu kamalizie usingizi ukirudi utajua kuwa DZZ yenyewe tu itatuchukua miaka sembuse ZZZ.
Wewe gari lako litasajiliwa T 999 ZZZ ufurahi
miaka 20 ijayo haifiki tutakua tumesha maliza.Mimi hata sielewi unachokosoa. Ukumbuke kuwa mfumo huu ulihamiwa kutoka wa zamani, kwa hiyo magari mengi yaliingizwa kwa pamoja kutoka namba za zamani kuja mpya. Pili, hapo awali piki piki nazo zilisajiliwa kwa namba hizi hizi, lakini sasa piki piki zimeondolewa kwa hiyo kasi ni ndogo.
Tangu namba DAA ianze ni miaka sasa maana nina gari natumia imesajiliwa namba DCW mwaka 2014 na hapo namba ziliwahishwa na boda boda...hebu kamalizie usingizi ukirudi utajua kuwa DZZ yenyewe tu itatuchukua miaka sembuse ZZZ.
Wewe gari lako litasajiliwa T 999 ZZZ ufurahi
Mkuu una uhakika kwamba huu mfumo wetu siyo mzuri? Hivi umewahi kujiuliza gari namba T101AAA ilitoka mwaka gani? Na leo hii 2017 bado tuko TxxxDxx! Ni lini mkuu tutaifikia TxxxZZZ? Siyo leo mkuu wangu naamini sisi tunaoandika hapa tutakuwa tumezeeka sana na anayejiona ni mdogo kabisa hapa ndani atakuwa amefikia umri usiokuwa na jina. Hivyo itakuwa sawa tu hata wakianzisha mchakato wa namba mpya wakati huo.Unapo Fanya uchambuzi wa mfumo gani utumike (Identification Code) lazima uhakikishe vitu hivi unavizingati.
1. Mfumo wako unataka uwe na muda gani bila namba kujirudia.
2. Mfumo wako lazima ubebe taarifa , mfano nikisoma namba ya gari nipate taarifa Fulani za gari, sisi hapa utakuta rangi ndio zinatumika.
na mengine mengi.
nikianza na hill kwanza , nimeshtuka sana kuona hadi sasa tumesha anza kutumia namba za DKX XXX INA maana miaka michache ijayo itabidi tunaanze upya maana namba zitakua zote zimesha tumika.
Je aliyependekeza mfumo wa namba za magari alikua anafikiria jambo hili?
Sasa miaka 20 mkuu ni kidogo hiyo? Wewe hapo kama una miaka 30 maanake utakuwa na miaka 50, sasa ni leo hiyo?miaka 20 ijayo haifiki tutakua tumesha maliza.
Mwenzio kaproject hundred years to come.We unaangalia lifespan yako tu.ndoo nyie mkiwa viongozi mnakurupuka kila sikuYaan tuko kwenye D saiv... Mpaka kuja kufika Z n leo??? .. ha hazitofika mwsho kamwe... tunaweza anza na AAAA tena
Namba D imekaa sana kiasi kwamba imemeza namba A,B na C..Bodaboda zilikuwa zinapeleka namba haraka, kama no C haikukaa sana, lakini baada ya kutofautisha Gari na pikipiki namba haziendi haraka tena.
T AAA ilitoja 2004 ka sihakosea miaka 13 imepita ndio kwanza D... So had zisogee herufi nne ifike namba K itakua 2040 hukoMkuu una uhakika kwamba huu mfumo wetu siyo mzuri? Hivi umewahi kujiuliza gari namba T101AAA ilitoka mwaka gani? Na leo hii 2017 bado tuko TxxxDxx! Ni lini mkuu tutaifikia TxxxZZZ? Siyo leo mkuu wangu naamini sisi tunaoandika hapa tutakuwa tumezeeka sana na anayejiona ni mdogo kabisa hapa ndani atakuwa amefikia umri usiokuwa na jina. Hivyo itakuwa sawa tu hata wakianzisha mchakato wa namba mpya wakati huo.