If I were a boy, i think you could understand...
aisee ndani ya huu wimbo kuna kapati kananisikitisha..
jamaa anamwambia beyonce eti hajisikii kama amelala na msichana kabisa.. as if kalala na mwanaume mwenzie!
imagine itakavyomuuma mwanamke akiambiwa hivyo!!
(btw, nakutakia njia njema kwa mchumba umtafutaye, nakushauri hamia jukwaa la elimu.. kule kuna grade IIIa, diploma, degree mpaka masters..)