Aliye tayari kunizalia mtoto

Aliye tayari kunizalia mtoto

Natafta mrembo aliye tayari kunizalia mtoto.
Nita toa huduma zote wakati wa ujauzito wake adi malezi na makuzi ya mtoto.
Sifa:1.Awe ni mtumishi wa serikali
2.Awe mkristo
3.Awe na elimu kidato cha 4 na kuendelea

NB:Cpo tayari kuishi na mwanamke
Wanawake wa hivo wako ulaya na marekani huko tena wenyewe unaingia nao mkataba kabisa wa malipo baada ya kukuzalia unachukua mwanao na yeye unampa pesa yake mliyokubaliana,tena yeye hausiki kwa lolote kwa mtoto na hatambuliki kisheria.
 
Hata bongo wapo wengi tuu sema hujakutana nao
 
Natumain watakufata mkuu kuna wengi wenye uhitaji wa mtt,.,japo hapa unaonekana unapigwa vita
 
Back
Top Bottom