raia_mwema
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 479
- 314
acheni kudanganyana!!! jwtz hawaajiri toka mtaani bali toka jkt, tena jkt wapo professional wengi mno tena wapo hadi wenye masters! kama unataka jeshi anza kutafuta nafasi ya jkt! kwa mwaka ujao manake mwaka huu wameshaingia kambini!!!