Nenda kwa Mshauri wa mgambo wilayani kwako utapata majibu sahihi
Mimi nimetoa majibu sahihi wala usitie shaka..ila siku izi hakuna jw direct lazima upitie jkt
acheni kudanganyana,wanaoanza mwezi ujao ni JKT,JWTZ wanamaliza mwezi wa nne mafunzo ya awali,sasa huyo anayesema wanaanza next week labda kama anamaanisha jeshi la mgambo kijijini kwao
Hizo ni fununu tuVp tetesi zilizopo za kuchukua mtaani kwa mwaka huu, najua wengi wanasema mpaka upitie jkt ila tetesi kwa mwaka huu ni direct from kitaa na wengine kutoka jkt
Hizo ni fununu tu
mwisho kutuma maombi ilikuwa kama two weeks ago kwa sasa kinachosubiriwa ni usaili tu,dogo wa home anasubiria ntawajuza siku akienda usaili
Jwtz au JKT?