Maana yake aliyechinjwa ni msaliti?Kuna dada haiti alivujisha video za gang ambalo lilikua linatafutwa huyo dada alipelekwa na rafiki yake tu ambae alimuomba ampe connection za hela kufika rafik yake anauhusiano na magenge hayo ndo walimfanyia unyama kama adhabu
Maana yake aliyechinjwa ni msaliti?
Nice B ni JINI.Nimebaatika kutizama ile video inayo trend kule fb ikimuenyesha mdada akichinjwa kikatiliš„µš„µ.. kinyamaaa, kikatiliii. Aise kunatisha tupunguze shobo wakuu na mtu kama humjui kiundani mwache apite, watu ni wakatiliiƬš³
Binadamu ni zaidi ya wanyama.Nimebaatika kutizama ile video inayo trend kule fb ikimuenyesha mdada akichinjwa kikatiliš„µš„µ.. kinyamaaa, kikatiliii. Aise kunatisha tupunguze shobo wakuu na mtu kama humjui kiundani mwache apite, watu ni wakatiliiƬš³
Sasa Haiti mtu anakua na anakula nyama yako anatoa figo fitigisi anazichoma wanakula,huko washashindikanaNice B ni JINI.
Haiti kawaida hiyoBinadamu ni zaidi ya wanyama.
Mtu anakata viungo vya binadamu mwenzie utadhani anakata vipande vya nyama ya ng'ombe.
Sijawahi kujua kama kuna watu wanazo roho mbaya kiasi kile.
Kavujisha au watu walikuwa wanachukuliwa kabisa , kuna video ile anapesa panga yule mdada ili amkate ni kama wamajirekodi ..Ya kwanza, imechukuliwa kwa mbali ila zinazofuata kama jamaa wamepanga kurekodiwa.Kuna dada haiti alivujisha video za gang ambalo lilikua linatafutwa huyo dada alipelekwa na rafiki yake tu ambae alimuomba ampe connection za hela kufika rafik yake anauhusiano na magenge hayo ndo walimfanyia unyama kama adhabu
Zipo stori 2Mnavyochat hapa kana kwamba mko kwenye kikao Cha familia kwamba wote tunajua kinaendelea kitu Gani.
Amechinjwa nani, Kwa makosa Gani?
Lini na wapi?
Zile video ni nomašHaiti kawaida hiyo
Na kuna nchi fulani
Inafata mkumbo kama wa huko
Ova
Weka Link na sisi tukaicheki.Zile video ni nomaš
Sina linkWeka Link na sisi tukaicheki.
Aiseee kumbe ndiyo life style yao? Kama ni hivyo inabidi UN chini ya TRUMP iingilie kati kuokoa maisha ya wanaHAITI.Sasa Haiti mtu anakua na anakula nyama yako anatoa figo fitigisi anazichoma wanakula,huko washashindikana
Ova
Huwa inaanza mdogo mdogo, hasa kwenye hivi scary movies, wrong turn and the likes.Huu moyo wa kumkata mtu kama nyama watu wanatoa wapi? Dah
Hebu tuone hizo videoZipo stori 2
Stori ya kwanza wanasema
Binti aliyeuawa alikuwa na urafiki na Binti aliyemuua.
Ni kwamba kuna genge la kihalifu(wahaini) waliwashawishi hao wadada wafanye pamoja kazi zao za kihalifu.
Huyo binti aliyeuawa akamwambia mwenzie hapana tusikubali.
Huyo mwenzie akakubali kimyakimya,
Sasa huyo marehemu akashangaa mwenzie safari za ndege hazikauki, maisha mazuri nk.
Baadaye aliwafuata hao wahaini,akaanza date nao.
Siku moja rafiki mtu anaona picha kwenye Simu yake.
Akamzunguka rafiki yake kwa kuwaambia hao wahaini kuwa huyu atatuchomq.
Wakampangia mtego.
Wakamwita sehemu wakamuua wakishirikiana na rafiki yake.
....
Stori ya 2
Wanasema huyo Dada muuwaji alikuwa anafake maisha.
Huyo rafiki yake marehemu akamkuta yupo na huyo muhimu, akawarekkdi,
Ndio maana wakamuua.
All in all videos zinatisha sanaš„¹
Ile ishakuwa failed State,UN washajitahidi sana wapiAiseee kumbe ndiyo life style yao? Kama ni hivyo inabidi UN chini ya TRUMP iingilie kati kuokoa maisha ya wanaHAITI.
Hata tz hku uraiani watu wanazidi kuwa makatili,kitendo tu cha kumkata mtu panga mwagia mafuta kumchoma,huo ni ukatili wa raiaAiseee kumbe ndiyo life style yao? Kama ni hivyo inabidi UN chini ya TRUMP iingilie kati kuokoa maisha ya wanaHAITI.
Inasikitisha sana.Ile ishakuwa failed State,UN washajitahidi sana wapi
Watu wenyewe wamevurugwa,na system ndy iliwafanya wawe hivyo
Labda itatokea siku watakuja tulia kama Liberia,
Ova
Hata tz hku uraiani watu wanazidi kuwa makatili,kitendo tu cha kumkata mtu panga mwagia mafuta kumchoma,huo ni ukatili wa raia
Ova
Niweke hapa Jf?Hebu tuone hizo video