Alivyosikia nimeoa kaanza kunitusi.

Alivyosikia nimeoa kaanza kunitusi.

RUDIANENI MAISHA YAENDE, COZ MUMEZAA MTOTO
mkuu kwani kuzaa mtoto ndo iwe sababu ya kurudiana? ingelikuwa mwanamke huyo kaona makosa yake angemtafuta na kuomba msamaha iliwayajenge upya ila ka hakuona hata ingefaa kurudiana wasingeweza kuijenga familia. ni mtizamo wangu tu mkuu
 
Sawa ila muhim tujue jinsi gani ya kuishi nao hawa wanawake coz sisi ni wanaume, wanawake mara nyingi wanakoseaga sana
 
Umenisikitisha kusema mzazi mwenzako alipoondoka ulisusa na mtoto miaka miwili,Katika ujana wangu nilikosa mengi sana ikiwemo kuzaa na wanawake tufaut,nilizaa na wanawake wanne na wote walikuwa na visa sana ila sikuwahi kususa mtoto,Usiludie hilo kosa tena katika uhai wako mkuu.
Aa wapi sometime unamuacha kwanza mtoto ila tu lazima ujihakikishie kwamba unakomuacha kuna usalama. Na sometimes watu wanasamehe watoto kwasababu ya tabia za mama zao.
Chamsing jamaa amuelezee mke wake kila kinachoendelea na kwakua kashaambiwa akachukue mtoto basi afanye taratibu za hilo suala
 
!,.Akasema dada ako ndo alinitia mimba labda aje achukue kivuli."
Hapo ndio nimepakubali..
 
Aa wapi sometime unamuacha kwanza mtoto ila tu lazima ujihakikishie kwamba unakomuacha kuna usalama. Na sometimes watu wanasamehe watoto kwasababu ya tabia za mama zao.
Chamsing jamaa amuelezee mke wake kila kinachoendelea na kwakua kashaambiwa akachukue mtoto basi afanye taratibu za hilo suala
Mke nae ni mgumu kuelewa,hana imani na mm
 
Ukiachana na mwanamke ambaye mliishi naye,mli zaa naye au mke,mtikisiko unaofuatia sijui kama kuna uliewahi kumuacha salama...
 
Naombeni ushauri nifanye nini kwa huyu mwanamke na nini anachotaka kwangu Na ndo yangu mpya ipo hatarini kuvunjika anampa vitisho huyu mke nilienae.Sijui nifanyaje ndugu zangu.

MKUU MPIGIE HUYU JAMAA ATAKUPA USHAURI MURUWA MAANA ANAUZOWEFU MKUBWA
1114851
 
Huyu mwanamke nimezaa nae,tuliachana kutokana na tabia zake chafu.Kwa hasira na kiburi chake tuliachana kwa maneno makali mno na kila mmoja akasika time yake.Aliondoka na mtoto akiwa ana miaka miwili.Hakuhitaji pesa kutoka kwangu kwaajili ya matunzo ya mtoto kisa Baba naMama yake wapo na wanahela nikaona sio shida,Mimi Kabwela masikini takua nimepunguziwa mzigo.
Imepita miaka miwili,bila mawasiliano kwani kutokana na hasira nilimsusa hadi mtoto.Nilikuja kugundua alikua akinifuatilia bila mimi kujua,wiki mbili kabla ya kuoa mke mwingine Ndio mambo yakaanza kuwaka moto.Sijui namba zangu alipata wapi nilipigiwa sim usiku kupokea akasema Mimi mama S,."Hivi we mwanamme ukoje"?mtoto ana miaka minne sasa hata kusema mtoto anaendeleaje hamna huyo Malaya wako amekuloga eeh!!Unategemea mtoto wako nanai anakulelea?hutoi hata matunzo ya mtoto!Na nikija huko huyo umbwa wako ulienaye atanikoma Njoo nyumbani umchukue mtoto wako.
Nilichomuambia ni kwamba nitamtuma mtu dada angu ajeamchukue!,.Akasema dada ako ndo alinitia mimba labda aje achukue kivuli."Nilikata sim,Alisndelea na message za matusi nyingi.Tangu tulivyoachana kwao sijawai kwenda na niliapa kwenda kwa sababu ya zarau zako.

Naombeni ushauri nifanye nini kwa huyu mwanamke na nini anachotaka kwangu Na ndo yangu mpya ipo hatarini kuvunjika anampa vitisho huyu mke nilienae.Sijui nifanyaje ndugu zangu.

Natumaini umemwambia ukweli huyu mke wako? Kama ndiyo hilo ni rahisi, fanya yafuatayo:

+ Tuma ujumbe kwao wakuchukua mtoto na weka ushahidi wa tukio hili.
+ Akigoma kutoa huyo mtoto andika makubaliano kumsupport huyo mtoto kupitia dada yako.
+ Akileta fujo kwako au mkeo kwa maneno au matusi weka ushahidi mburuze ndani...

Kama hukumwambia mke wako wa sasa una mtoto, hapo ni balaa kidogo, tafuta mazingira umwambie ajue...

Kwa ndoa changa isiyo na mtoto sishauri ulete mtoto wa x wife, tafuta namna alelewe na Dada au Mama yako etc....

Nikupongeze sana kwa uamuzi wa busara kuitafuta furaha yako, hawa wanawake wamekuwa watesi sana sana....
 
Huyu mwanamke nimezaa nae,tuliachana kutokana na tabia zake chafu.Kwa hasira na kiburi chake tuliachana kwa maneno makali mno na kila mmoja akasika time yake.Aliondoka na mtoto akiwa ana miaka miwili.Hakuhitaji pesa kutoka kwangu kwaajili ya matunzo ya mtoto kisa Baba naMama yake wapo na wanahela nikaona sio shida,Mimi Kabwela masikini takua nimepunguziwa mzigo.
Imepita miaka miwili,bila mawasiliano kwani kutokana na hasira nilimsusa hadi mtoto.Nilikuja kugundua alikua akinifuatilia bila mimi kujua,wiki mbili kabla ya kuoa mke mwingine Ndio mambo yakaanza kuwaka moto.Sijui namba zangu alipata wapi nilipigiwa sim usiku kupokea akasema Mimi mama S,."Hivi we mwanamme ukoje"?mtoto ana miaka minne sasa hata kusema mtoto anaendeleaje hamna huyo Malaya wako amekuloga eeh!!Unategemea mtoto wako nanai anakulelea?hutoi hata matunzo ya mtoto!Na nikija huko huyo umbwa wako ulienaye atanikoma Njoo nyumbani umchukue mtoto wako.
Nilichomuambia ni kwamba nitamtuma mtu dada angu ajeamchukue!,.Akasema dada ako ndo alinitia mimba labda aje achukue kivuli."Nilikata sim,Alisndelea na message za matusi nyingi.Tangu tulivyoachana kwao sijawai kwenda na niliapa kwenda kwa sababu ya zarau zako.

Naombeni ushauri nifanye nini kwa huyu mwanamke na nini anachotaka kwangu Na ndo yangu mpya ipo hatarini kuvunjika anampa vitisho huyu mke nilienae.Sijui nifanyaje ndugu zangu.
Bado anakupenda mkuu. Muoe mlee mtoto wenu. Do it for the best interests of ur kid.

But make sure u make peace with her before going to collect ur kid cause anaweza kukumwagia maji au mafuta ya moto.
 
Back
Top Bottom