Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,724
Salaamu,
Ni hivi tulipanga kufunga ndoa 2014,but akaweka kigezo lazima tufunge ndoa nikiwa mjamzito coz hawezi kuoa mwanamke bila mtoto au mimba kuonekana eti wengi wanalia ndani ya ndoa kwa kuoa tasa.
I loved him,so nikacount then we did it.After two weeks nikamuinform akaonekana happy mi kupata ujauzito.Ilipofika miezi 2 mambo ndo yakaanza kuwa mambo changes zikaanza,all time yupo busy mara akate simu,mwisho wa siku ndo akanitamkia nitoe mimba kwa sasa hayupo tayari kulea kazi yake jamaa yupo kwenye kitengo cha PSI.
Nikajaribu kubembeleza abadili maamuzi kuniokoa na aibu iliyombele yangu lakini akakataa.Siku moja nikapiga simu akapokea mwanamke kumbe naye kamtia mimba ye miezi 4 mi 2 naye anaambiwa atoe.Mwanamke mwenzangu akanishauri tutoe mi nikapinga lakini mwenzangu aliamua kutoa na sasa ameolewa na bwana mwingine.
Mi kuona tupo wengi nikaamua bora nilee mimba na mtoto sio kidonda.siku zote jamaa kazi yake ilikuwa ni kulizia umetoa,ina miezi mingapi,utajifungua lini,na alipopata taarifa nimejifungua akapiga simu mtoto jinsia gani,sasa naona anazidi iharibu future yangu kwa maswali,mtoto ana miezi mingapi ana miezi mingapi wakati tangu miezi 2 ya mimba siifahamu sura yake wala pesa yake kwa mtoto.Mi Mwalimu wa msingi,nimeamua nitaendelea kumlea mtoto bila msaada wa baba na sitaki tena mawasiliano nae nimebadili namba ya simu.Mtoto ana mwaka 1 now.