Haya maneno yalizungumzwa na Albert Einstein mwaka 1950 miaka mitano kabla ya kifo chake....katika nyakati hizi ndio yanatimia.....kweli genius ni genius tu.
Haya maneno yalizungumzwa na Albert Einstein mwaka 1950 miaka mitano kabla ya kifo chake....katika nyakati hizi ndio yanatimia.....kweli genius ni genius tu.
Duh! ajabu na kweli!Huyu jamaaa huwa namsikia sana lakini sjajua alikuwa mgunduzi wa kitu gani
Mbona sioni alichosemaHaya maneno yalizungumzwa na Albert Einstein mwaka 1950 miaka mitano kabla ya kifo chake....katika nyakati hizi ndio yanatimia.....kweli genius ni genius tu.
Vaa miwani ya 3D utaona.Mbona sioni alichosema
Jamaa alikuwa ni kichwa sana alikuwa anaongea vitu kwa kufikiria bila kuvifanyia experiment na mwisho vinakuja kuwa proved kuwa kweli. He is the father of modern physics vitu kama relativity, E=MC kipeo cha 2 na mambo mengi sana.Huyu jamaaa huwa namsikia sana lakini sjajua alikuwa mgunduzi wa kitu gani
Mbona sioni alichosema
Mimi pia sioni!Wewe kama mimi tu nami sijaona alichosema
Mimi nimeambiwa nivae miwaniMimi pia sioni!
Asante Kiongozi!Ila nadhani walitaka kusema hiki
View attachment 887248
Mimi nimeambiwa nivae miwani
Huyu bwana, mwaka 1905 aliwahi kusema hivi; hakuna kitu kinachoweza kusafiri kwa kasi kuzidi mwanga, iwe ni hapa duniani au kwenye sayari nyingine yoyote ile. Kwa ujumla alisema kuwa kwenye UNIVERSE, kitu chenye kasi kuzidi mwanga hakipo, na mpaka leo wataalamu wanafanya kazi kwenye maabara zote duniani hajawahi kutokea mtu wa kuipinga theory yake. Huyu bwana pia ndiye alisababisha ugunduzi wa mabomu ya Nyukilia, kama yale yaliyopiga Nagasaki na Hiroshima kweye vita vya pili vya dunia.Alitoa pia theory ya photo-electric effect ambayo ilimfanya apewe Nobel Prize ya Phsics mwaka 1921, theory ambayo NADHANI ilimsababisha rafiki yake Niels Bohr wa Denmark, Copenhagen University, na yeye kupata Nobel Prize ya Physics mwaka ulioufuata wa 1922. Mwaka huu 2018, kuna watu watatu ( mmarekani, mfaransa na mcanada) nao pia wamepata Nobel Prize ya Physics kwenye mambo ya LASER teknolojia na NINA WASIWASII kama hawajatumia pia theory ya photo-electric effect ya Eistein, ila sina uhakiaka.Huyu jamaaa huwa namsikia sana lakini sjajua alikuwa mgunduzi wa kitu gani