Kontelo JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 571 Reaction score 161 Aug 25, 2014 #1 Heshima kwenu wana JF. Hii ilitokea maeneo ya gongo la mboto wakati jamaa alipokuwa anavua suruali na kuisachi ndipo akagundua imebaki shilingi 2000 akaenda kununua chipsi kavu na soda akala kisha akanywa maji akalala. Story imeishia hapo.
Heshima kwenu wana JF. Hii ilitokea maeneo ya gongo la mboto wakati jamaa alipokuwa anavua suruali na kuisachi ndipo akagundua imebaki shilingi 2000 akaenda kununua chipsi kavu na soda akala kisha akanywa maji akalala. Story imeishia hapo.
Rich Pol JF-Expert Member Joined Oct 11, 2013 Posts 7,877 Reaction score 5,694 Aug 25, 2014 #2 Hadithi nzuri sana, amekufundisha nani?
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,553 Reaction score 41,467 Aug 25, 2014 #3 Rich Pol said: Hadithi nzuri sana, amekufundisha nani? Click to expand... ccm hao
sijui nini JF-Expert Member Joined Sep 29, 2010 Posts 2,553 Reaction score 1,292 Aug 25, 2014 #4 Vituko anavyofanya huyo jamaa wa kwenye avatar(Sherrif Rango) yako na wewe sawasawa tu..
Kontelo JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 571 Reaction score 161 Aug 26, 2014 Thread starter #5 sijui nini said: Vituko anavyofanya huyo jamaa wa kwenye avatar(Sherrif Rango) yako na wewe sawasawa tu.. Click to expand... Ha ha haaaa
sijui nini said: Vituko anavyofanya huyo jamaa wa kwenye avatar(Sherrif Rango) yako na wewe sawasawa tu.. Click to expand... Ha ha haaaa
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,193 Reaction score 103,004 Aug 26, 2014 #6 MO11 said: ccm hao Click to expand... Wewe unawaza siasa tuu!!?? Au ndio ujanja kujibu hivyo!?
ladyisa JF-Expert Member Joined Aug 23, 2014 Posts 660 Reaction score 149 Aug 27, 2014 #7 huna la kufanya ndo maana
C chuwaemanuel75 Member Joined Aug 16, 2014 Posts 14 Reaction score 2 Aug 27, 2014 #8 Rich Pol said: Hadithi nzuri sana, amekufundisha nani? Click to expand... huyo atakuwa babu