Alipouawa na polisi Daud Mwangosi, Mbona viongozi wa CHADEMA hawakukamatwa wala kushtakiwa..

Umekumbusha kitu kibaya sana bora ungekaa kimya..huyu jamaa kwa mapenzi yake kwa chadema aliamua kuchanganya siasa na taaluma..baada ya kufa amesahaulika na chadema wamefunga kurasa..familia yake inatapa tu sasa..kama zile za waliouawa arusha kwenye maandamano ya chadema 2010
Punga kweli wewe so umefurahi sana wanavyotahabika, nyie ndio kizazi F
 
Kikwete mlimuita dhaifu,mswahili,anacheka cheka,vasco da Gama
Hii laana haitawaacha mpaka muende msoga kwa miguu mkamuombe radhi
Sugu ananyea debe tayari,kinachofuata ni chadema kutafuta watu wa kukaimu tu
Kwako raha eti, ngoja siku igeukie kwako
 
Hongera kwa kutumbusha matukio ya kisiasa kihistoria. Lakini, ili hoja yako ipate nguvu ya uchambuzi makini, ungerejea pia hotuba za viongozi, wakati ule na juzi, zilizosababisha kufanyika hayo maandamano na matukio ya vifo.

Inasikitisha tunapotetea viongozi wanaohamasisha fitina kati ya mamlaka na wananchi, wakati wao wana heshima na madaraka makubwa nchini. Vijana wa taifa la kesho wanarithishwa nini kama siyo tabia ya uvunjifu wa amani, na mifano imeanza kuonekana.

Wahenga walinena Ukimchekea ngedere utavuna mabua.
No man ......... kinachofanyika kwa sasa ni sawa na mzee kujamba alafu anawasingizia watoto!!
 
Back
Top Bottom