Alipokuwa hana kazi aliniheshimu, saivi kapata kazi haniheshimu

Piga chini haraka sana...usisubiri Mungu ashuke mwenyewe kukutafsiria maana ya hizo ishara!
 
Huyo anahisi pesa kwake ndio kila kitu so hana mda wa kubembeleza tena na anakupotezea au huenda kuna mtu mwingine anajaribu kuchukua nafasi yako. Chunguza kabla ya kufanya maamuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…