Rais2020
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 3,248
- 5,537
Habari zenu wana MMU,
Leo nimeona niwaletee kisa ambacho kilinikuta miaka michache HUKO nyuma.
Nikiwa chuo mwaka wa Pili katika pita pita zangu za mitaani nilikutana na binti mrembo mwenye asili ya kinyarwanda aliyekuwa anasoma chuo cha jirani ya chuo nilichokuwa nasoma mimi.
Bila kuchelewesha muda kama ilivo kawaida kwa wanaume lijali nilimtongoza yule Dada na ilimchukua kama miezi miwili kunikubalia kwa sharti la kutumia kondom mpaka pale tutakapofunga ndoa. Nilifurahia na nikasema isiwe tabu. Mchezo ukaendelea ambapo siku Moja nilimwita aje gethoni nilipokuwa naishi,alipofika alipika chakula tukala tayari kwa kugegedana. Yule Dada nilipomwambia swala la kugegedana aliishiwa amani na furaha japo aliniuliza kama kuna kondomu. Kwa kuwa nilikuwa nimebakiza piece Tatu za kondomu nikasema zinatosha.
Wakati nikiwa namuandaa gafla alianza kulia kwa huruma bila sababu ya msingi na nilipomuuliza akasema ananipenda hivo hataki niteseke ndo maana alilia kwa uchungu. Nilijawa na maswali mengi sana. Ilibidi nimwache aende zake ili aje siku nyingine maana siku hiyo alikuwa MTU mwenye huzuni na mwenye kutokwa na machozi muda wote.
Zilipita siku mbili,binti mrembo wa kinyarwanda alirudi tena baada ya kumbembeleza aje ili nimgegede. Hakika alikuja na siku hiyo sikutaka swaga zake,nilianza kumuandaa na akanivalisha kondomu,. Kwa kuwa nilikuwa na ugwadu wa kutosha nilimgegeda kwa kutumia nguvu nyingi sana hata pale alipokuwa analia nilikuwa namsukumizia tu dude tena kwa nguvu za kutosha. Bao la kwanza lilikamilika na akanitoa kondomu kwa pole za kutosha(pole my husband kwa kazi nzito,alisema). Mgegedo ulikuwa mzuri sana kiukweli.
Niliamua kupumuzika kama dk 10 hivi nikiwa najazia nguvu zingine Mara haaa! Dude likajaa hasira,nikamuweka kikaangani tena yule mrembo.
Baada ya siku kama 14 hivi nilimwambia tena aje,Mara hii alikuja kulala gethoni kwangu ili nimpasue barabara. Kiukweli dude lilikuwa limechangamka na lenye nguvu sana kiasi kwamba mrembo alidata na dude. Basi nilimkandamiza mpaka kondimu ilipasuka. Alipogundua kondomu imepasuka alilia sana usku kucha. Asubuhi alisema akaoge. Akaenda kuoga na wakati akiwa bafuni akilini mwangu iliniijia issue ya kukagua mkoba wake. Dah! Mungu ni mwema nilikutana na kopo Moja la dawa ambalo niligundua ni ARV na alikuwa na vidonge vingine vya Septrin. Basi niliingiwa na hofu sana. Nikamsubiri atoke bafuni ili nimuulize. Akasema ameathirika ndo maana hakutaka nisex nae bila kondomu. Dah! Niliishiwa nguvu zote na hapo hapo majira ya SAA NNE asubuhi nilimfukuza licha ya kulia sana na kuniomba msamaha.
mapema muda huo huo nikaenda dispensary ya karibu kumwelezeaxhali halisi na akanipima ambapo Dr niliyemkuta alinipa dawa za mwezi mmoja ambazo ni TLE. Dah! Ilikuwa shida sana kuzimeza maana zilikuwa kubwa mno.
Baada ya siku 30 nilipima nikakutwa Niko safi.
Toka pale niliacha kudandia warembo hovyo hovyo. Na kondomu niliendelea kuzitumia sana.
(Nimesukumwa kuandika kisa hiki baada ya jumatatu ya week hii kumkuta akiwa hoi bin Taabani kwa ugonjwa wa fungus wa ubongo).
Funzo: Wadada wanahuruma sana. Hawataki kueneza VVU kwa makusudi. Usimwamini mtu kwa macho.
UKIMWI UPO NA UNAUA.
(Nimehariri nilipokosea mpangilio wa matukio-Sorry).