Olewa naye ndio dawa ya kumuacha...
sasa aolewe mara mbili??
leo siko poa kabisa my friend!
Pole sana...kuolewa mwisho mara ngapi? Au nimesahau mambo ya kidigitali?
hahahaha!! unautani wewe??
haya umeona NRF wametoa matokeo?? nimepata. nipe hongera yangu.
Then it is a day of celebrations...kumbe mambo yanaenda yakiongezwa.
yap yap.
Huyu mkaka ndio alinifundisha abc ya kukaa uchi huku mkiwa mnafanya kila wazazi walichokataza juu ya wavulana.
Ameoa na mimi nimeolewa,
Lakini cha ajabu tunapendana kuliko tunavyopendana wa wandani wetu.
Mi kwakweli nataka niishi maisha safi ya ndoa, je nifanyeje ili nimuache?

Mhhhhhhhhh! Mi biahsara kama hizi ndo sitakagi! Mtu anakuoa, unamuamini kumbe ana unfinished business zake. Mwisho unajikuta charged with 1st degree murder case baada ya uzalendo kukushinda na kumuwekea Diazon kwenye juice!!!!!!!!!!
We huyo bwana anakuona wa maana coz uko kwa mumeo, wala, wanya kwa raha zako. Kumpima upendo wake mwambie namuacha mume wangu naja huko kwako uniowe japo mke wa pili uone kama hata sms yako yeyote itayofatia itajibiwa! Kimyaaaaaaaaaaa!!!!!!!!