Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

usikubali hiyo rav 4 mianaume haina utu badae akunyaganye ampe mwingine.. sory hilo lijianaume lishamba
Kweli shosti, wanaume hawalidhiki wallahi... Mimi nimeshazoea tz 11 from home to my salon and back home.
 
Aisee.! Pole sana Mkuu..

And una moyo sana mkuu! Ingawa ulimshushia kipigo lakini walau ulikumbuka kumpeleka hospitali, maana sitaki hata kuimagine kile kitu ambacho ningefanya kwenye situation kama hiyo..

Mungu atuepushe na hili lisitukute..
 
Duuuh mkuu umetisha nimebaki mimi kufanya ivo lazima nirevenge
 
Aisee.! Pole sana Mkuu..

And una moyo sana mkuu! Ingawa ulimshushia kipigo lakini walau ulikumbuka kumpeleka hospitali, maana sitaki hata kuimagine kile kitu ambacho ningefanya kwenye situation kama hiyo..

Mungu atuepushe na hili lisitukute..
Ni kweli mkuu,unaweza kujikuta unaishia jela sababu ya MTU asiye na maana kabisa
 
Mkuu pole sana, sasa kwa story kama hz then wengine wanaleta uzi eti KUMSHIRIKISHA MKE KWENYE MIRADI YOTE wakati wengine hata harusi bado ameshageuka nyoka ndan ya nyumba
 
You made a little bit of sense, ila kumshawishi kumwingilia kinyume na maumbile kama kulipa kisasi wasn't fair kabisa .Kumbuka ilisemwa " kama unavyofanya nawe utafanyiwa tu".
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…