Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima


Wale waliokariri mwanamke ukimpa kila kitu hakUsaliti wakuje hapa uzi wako ni mapenzi darasa.hawa viumbe viumbe hawana formula lolote linaweza kuwaganya watoe chipupa
 
Me nimemlea na kumsomesha now anaishi vizuri na maisha mazuri....kwa ajilibyangu juzi nimetumiwa na message na mwanaume anamlaa na proof akanitumia hapa nimechanganyikiwaa
Usichanganyikiwe Mshukuru Mungu kwa yote, huwezi jua kakuepushia nini ipo siku atakukumbuka na kuona wema wako malipo ni hapa hapa duniani.
 
Ila sijui kwanini tu huwa watu wanawaumiza wale wanaowapenda kwa dhati, mtu anayekupenda na kukusaidia kwa kiasi kikubwa ni wa kupenda na kuheshimu sana.
Ni kweli ''the person who you care most is the one who will break ur heart much more',,,,,bora showtime tu
 
Nice story, very interesting nimejifunza vingi, asante sana
 
Usichanganyikiwe Mshukuru Mungu kwa yote, huwezi jua kakuepushia nini ipo siku atakukumbuka na kuona wema wako malipo ni hapa hapa duniani.

Ni hatari sana aisee so hapa kila.mtu ananishauri niachane nae niangalie maisha mengine tu wengine wanasema kumsamehe sasa ndio nipo njia pandaaa
 
Aisee.
Wanawake na sisi tunapenda sana kuliwa Tigo.
Yaani mwezi mzima unamdukua tu.
Ila nasikia mwanaume ukianza huachi....
MMH KAMKOMESHA WAP WAKATI JAMAA NDO ALIKUWA ANAFAID HIYHIYO NDO MAAANA KAMPA KESHAZOEA UMEJIKOMESHA MWENYWE
 
Am just curious, kwa unavoona asilimia ngapi ya wanawake wanapenda kuliwa tigo? Madame B
% karibu 90 na upuuzi...unajua kwanini hatuwezi/hawawezi jiweka wazi....
1. Jamii inayotuzunguka
2. Heshima niliyojiwekea ktk jamii yangu
3. Kuogopa kuaibika pale hali inapokuwa si hali na n.k
 
Mimi nimeshasema nitaoa uzeeni,kinachonipata sasa hivi bado siamini amini kama ni huyu mwanamke ananifanyia hivi,kama muvi vile japo ni kweli.
 
Mimi nimeshasema nitaoa uzeeni,kinachonipata sasa hivi bado siamini amini kama ni huyu mwanamke ananifanyia hivi,kama muvi vile japo ni kweli.

Mkuu haya mapenzi achaaa tu aiseee maana wanawake hawana huruma kabisaa hata umpe nini still bado atakudanganya tu taka usitake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…