Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Sawa wee msamehe tu, maana umemtoa mbali umemsaidia kuweka mahali Fulani, alafu sio lazima awe mkeo.....viumbe wanashawishika sana hao
 
Pole sana usaliti ni adui mkubwa sana ktk mahusiano ya watu wengi Mungu akutie nguvu uwatunze vyema wanao.
 
mkuu pole sana..
hata mimi kuna kitu huwa kinanisumbua kichwa

>huwa napenda niwe na
familia baadae
>lakini naogopa sana
kuoa

maana visa vya ndoa au mahusiano kwa ujumla huwa ni tishio kwa kweli maana kila nikijaribu kugeuza visa vya wenzangu viwe vyangu huwa napata uwoga sana wa kuthubu hata kujaribu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…