Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

Shida kubwa ya huyo jamaa ni nini?
 

HAKUNA KITU NINACHOPENDA DUNIANI KAMA KUBALANCE MAUMIVU YAANI JINO KWA JINO NA KWENYE KORANI IMEANDIKWA LIPIZIANENI KISASI ILI HESHIMA IWEPO MIONGONI MWENU KWENYE BIBLE NAKO NI JINO KWA JINO KWA HIYO SIKO TAYARI KUMVHOKOZA MTU ILA AKIINGIA KWENYE 18 HAPONI HATA KAMA ATAKUWA NI No. 1
 
Lazima kuna lilowahi kukupata sio bure.
Wala hakuna lililowahi kunitokea, ni basi tu nilishtuka mapema biashara ya mapenzi siyo sehemu salama ya kuwekeza hisia.
Kwa jinsi mahusiano ya wakati huu yanavyo-trend, ni bora niwe na sex partners kuliko lover.
 
Hebu chige akuje atwambie
Valentina, achana na witnessj... ananisingizia!
Ananisingizia kwa sababu anajua nampigia misele kwahiyo anatafuta sababu tu hapa ili anichinjie kwa ocean!! She's pushing me away while dreaming 4 Hasheem just in case!! Why not me?!

Mosi, huyo jamaa ni mfanyakazi wakati mimi naishi kiujanja ujanja tu hapa mjini-- kwahiyo haiwezi kuwa mimi!

Pili, huyo jamaa anaishi kwenye mageti na walinzi juu!! Wakati huku kwetu mageti ya nini bhana kama si kutaka kuwaletea makuzi majirani?!

Tatu, huyo jamaa anajidunga hadi mi-whisky wakati mimi hata Kilimanjaro naiona chungu kiasi cha kujiuliza hivi nyie vyapombe huwa mnatafuta nini kwenye ile mimaji isiyo na ladha hata chembe huku mingine hata harufu yake haivutii!!

Nne, huyo jamaa anafikiria kulipiza kisasi... msamiati ambao hau-exist kwangu!! It's too easy for me to recover from relationship damage cuz' from day one I meet you, I know uwezekano wa lifelong relationship ni mdogo compared to standard relationship (ambayo huvunjika any time "t")... kwahiyo nakuwa prepared for worse anytime!

Btw, hatujazaliwa pamoja na tumekutana tu ukubwani... so how come nidhanie nitakuwa na wewe milele kiasi kwamba isipokuwa hivyo ndo iwe nongwa?! Kwahiyo hata neno "siwezi penda tena" halipo kwenye msamiati wangu! So, ukiwa na mimi halafu nikakumbia "bila wewe, siwezi penda yeyote mwingine" fahamu nitakuwa nimekupiga fix and trust me, ingawaje sipendi faking kwenye mapenzi, but am good at telling lies when necessary!


Tano, chige sio mtu wa kusema kitu kwa mama hususani kinachohusiana na ubaya wa mwanamke... never ever! Naanzaje kwa mfano?! Huyo rafiki yangu mwenyewe ataishia kuzijua habari kama hizo juu juu... seuze mama angu!! Hata hapa JF siwezi kuleta mada kuhusu mwanamke wangu never ever hata kama nimekuta anagegedwa na dume la mbuzi!

CONCLUSION: Huyo jamaa tumefanana kitu kimoja... wote tunapenda kuandika hadithi! Kwahiyo utaona jinsi gani witnessj anavyonisingizia lakini nafahamu wapi nitampata!

I wish you Valentina & witnessj Merry Christmas & Happy New Year!!
 
Wala hakuna lililowahi kunitokea, ni basi tu nilishtuka mapema biashara ya mapenzi siyo sehemu salama ya kuwekeza hisia.
Kwa jinsi mahusiano ya wakati huu yanavyo-trend, ni bora niwe na sex partners kuliko lover.
Sex partiners!!! Basi sawa.
 
Teh teh teh teeeeeh!!!
 
Uyo mwanamk3 nae kiaz kweli...mtu una mipango ya arusi na mwanamme wako wa maana unajiweka kwa mhuni??
 
Mapito oa tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…