saa nyingine uongozi wa Jf uangalie mtu wa kumpa Nametag ya Platinum sio tu kupokea hela zaoKuwa platnum ina vigezo gani, unalipia au ni ubobevu tu na muda mrefu wa kujoin Mr Volvo?
Tabia, haiba ya mtu, yaliyomjaa kichwani huwa havikui, watu wanajivunga na kusupress ujinga au upumbavu wetu, likija suala la ID fake lazima true colours zionekaneMleta mada ni mkongwe,kajiunga JF toka 2009 ila huu uzi ni kama vile umeandikwa na mjukuu wake!
Ni baada ya kumuomba sana na kumbembeleza.
Yeye akasema amechoka hawezi kuamka.
Lakini sikukata tamaa...nikazidi kupanga maneno ili anielewe,
Bila kufanya hivyo nisingeweza kupata usingizi.
Hatimaye akasema siku nyingine nisirudie tena huo mchezo wa kumuamsha manake alikwisha lala na ni usiku mkubwa.
Basi akanifungulia geti nikaingiza kichwa cha VOLVO VNL 680...manake kukilaza nje ni hatari kilikuwa kipyaa...View attachment 3667304
Sahihi.Kichwa kingeumwa na mbu.Ni baada ya kumuomba sana na kumbembeleza.
Yeye akasema amechoka hawezi kuamka.
Lakini sikukata tamaa...nikazidi kupanga maneno ili anielewe,
Bila kufanya hivyo nisingeweza kupata usingizi.
Hatimaye akasema siku nyingine nisirudie tena huo mchezo wa kumuamsha manake alikwisha lala na ni usiku mkubwa.
Basi akanifungulia geti nikaingiza kichwa cha VOLVO VNL 680...manake kukilaza nje ni hatari kilikuwa kipyaa...View attachment 3667304
Shehee mie nimo humu kabla ya ID hii ya nzalendo...toka jf ikiitwa JAMBO FORUMS.....lakini usinifuatilie saana manake mie mpuuzi flani hivi...,,,,kwangu hapa ni kijiwe cha kutoa stress tu......Kuwa platnum ina vigezo gani, unalipia au ni ubobevu tu na muda mrefu wa kujoin Mr Volvo?
Alikufungulia mlango gani😎Ni baada ya kumuomba sana na kumbembeleza.
Yeye akasema amechoka hawezi kuamka.
Lakini sikukata tamaa...nikazidi kupanga maneno ili anielewe,
Bila kufanya hivyo nisingeweza kupata usingizi.
Hatimaye akasema siku nyingine nisirudie tena huo mchezo wa kumuamsha manake alikwisha lala na ni usiku mkubwa.
Basi akanifungulia geti nikaingiza kichwa cha VOLVO VNL 680...manake kukilaza nje ni hatari kilikuwa kipyaa...View attachment 3667304
Sawa maalim sikupingi 🤝Shehee mie nimo humu kabla ya ID hii ya nzalendo...toka jf ikiitwa JAMBO FORUMS.....lakini usinifuatilie saana manake mie mpuuzi flani hivi...,,,,kwangu hapa ni kijiwe cha kutoa stress tu......
Itoke iende wapi MzeeCcm tutaweza kweli itoa madarkani?
🤣🤣🤣shukran shukran Mabrouck