Aliniomba nimuache, lakini akanisaidia sana

Aliniomba nimuache, lakini akanisaidia sana

Sijasema unamsema kuwa stori ni ya kutunga.
Ninachomaanisha unamsema ilihali hii stori ni ya kutunga tu.
Mtu anapoweka post haijalishi iwe ni ya kutunga au ya kweli kuchangia ni maamuzi yetu!
 
Ulikuwa unadanga,uliolewa,ulikuwa bushoke,ila huyo jamaa alikuwa nae kitambo tu tangu mkiwa wote chuo na huyo binti ulikuwa unamegewa amini usiamini
😀😀😀
 
Kumbeeeeeeeee!
Kuanzia leo sitaki kutambulishwa tambulishwa mara huyu ni binamu mara huyu ni mtoto wa shangazi SITAKI
Utatambulishwa tu wanawake Ni viumbe hatari sana sikia tu mkuu ... Sometimes unaweza kutambulishwa kijana mdogo mdogo tu kwa macho yako unamuona mjinga mjinga kumbe ndiye anaye kuchapia mkeo
 
Utatambulishwa tu wanawake Ni viumbe hatari sana sikia tu mkuu ... Sometimes unaweza kutambulishwa kijana mdogo mdogo tu kwa macho yako unamuona mjinga mjinga kumbe ndiye anaye kuchapia mkeo
Sasa kwa kauli yako kama hii nguvu ya kuweka mwanamke ndani naitoa wapi?
 
Ulikuwa unadanga,uliolewa,ulikuwa bushoke,ila huyo jamaa alikuwa nae kitambo tu tangu mkiwa wote chuo na huyo binti ulikuwa unamegewa amini usiamini
Mkuu, hapo hujaona both team to score? Jamaa katumia fursa.
 
Mmmmh luv is just complicated!! When we Die ndo tutajua wanawake wanapenda nn kwa wanaume Maaanaa hata wao bado hawajajua
 
Back
Top Bottom