Alininyanyasa sana nilipofukuzwa kazi, MUNGU ameniona, sasa yamegeuka

mpige chini huyo hata ukiugua ukawa huwez kufanya lolote atakuacha kitandani unakufa sio mtu mzuri shukuru mungu ulikua mzima wa.afya
 
Kusameheana kwenye mapenzi/ndoa ni kitu kizuri sana na lazima tukitukuze Mkuu lakini si baada ya kutendwa kiasi hiki.

Kweli kabisa mkuu,..Hawa watu huwa wanatia huruma sana wakati wa kuomba msamaha,..lakini hawana maana.
 
kwa maelezo yako nimemjua unamuongelea ni dada yangu hivi sasa hata wazazi nao wanajisikia aibu na ndio washauri wakuu ni wazazi haohao binafsi nilikuwa nakuonea huruma sana lkn sikuwa najinsi kama unajua siku nilokuja kwako nilimsema alinifukuza nakwakuwa anajeuri sijapata kuja tena kwako tangia hapo sisemeshani nae,ila anaumia na anajuta ,mwisho nakushauri najua waweza kumuonea huruma kwakuwa ni mkeo nikikumbuka mlivyokuwa mnapendana ,lkn nina hakika huwezi mpenda tena hata kama ajitahidi akurudishe kwa mateso yale sizani kama utampenda tena,yule kwa sasa itabaki stori kwake, mwisho kwa wote mliocoment hapa,sio wote wanawake wana roho mbaya trust me,YA MUNGU MENGI,zaidi naomba jipe muda sema na moyo wako shemu utakachoamua mm sitakupinga zaidi nitakuwa upande wako sana tu mpaka utakapotoweka hapa duniani au mm nitakapotoweka,salamu kwa hao vijana wangu hapo nyumbani nwako J

Hapa panatopic...
 
Huyo si umeshajua yeye hakupendi na pia yeye na familia yake wanakupendea pesa tu.

Kama aalikaa na kunyanyasa ndugu zako miaka minne ni mingi sana sana fuh bora ibgekuwa miezi ubasena kichaa tu unasamehe ila miaka minne na wazazi wake wanasapoti....hakuna kitu hapo.

Bora usepe zako huyo atakuua ili apate mali zote zako kabla ya siku yako.
 
ndoa ni ya mtu 2 tuuu....... bro kwanza pole sana... wanaume wengi tumekutana masahibu yasiyokinzana kwa sana,,, mule mule tuu.... tunza wanao, songa mbele. Hakikisha unaanzisha biashara imara maana sasa unao mchongo fresh.
 
Mda mwingne Mungu anatufundisha wanadamu kwa namna tofauti ili kuona imani zetu ongea na moyo wako
 
Uzuri wa sisi wa mama huwa tunaangalia watoto wetu bila kujali madhara yatakayowapata wajukuu wetu yaani unamfikiria mwanao aachane na huyu aoe mwingine bila kukaa chini na kufikiria wajukuu zako watalelewa vipi na mke na yeye anafikiria watoto wake bila kumfikiria mme au mtu mwingine yoyote ikifika hapo huwa nasema nani kama mama maana yeye ni mtt wake tu ndio anawaza hata hao wajukuu akipewa awalee hata walea kama mama mzazi wa hao wajukuu.

Huyo kaka hata angekuwa mwanao, sidhani kama ungeanza wajukuu wako kuliko mwanao uliye na uchungu naye. Kwa maswahibu yalompata had kumfukuza mamaye, kufikiria msamaha ni maamuzi magumu sana.
In fact kwa sasa huyo mke hana mapenz kwa mumewe ikitokea akayumba tena kiuchumi/kuugua muda mrefu hatomjali kabisa
 
Bro
There is an english saying 'what goes around comes around'
Kila ubaya tuufanyao mwisho wake hurejea kwetu kwa kasi zaidi.
Ndoa ni ibada na si vizuri kumshauri mtu atengane na mwenza ambayo wakati wa muungano wako ulishuhudiwa na mungu.
Hata hivyo yaliyokutokea ni 'wake up call nzuri kwako' utafanya nini kuhusu yaliyokukuta mungu akuongoze lakini for sure huyo si mke mwema huyo ni mchoyo, huyo ana roho mbaya na kwa bahati mbaya hujawahi kuongea na wazazi wake kuhusu matatize yake [wazazi wake pengine hawafahamu yote hayo]
 
Achana nae tuu, usioe tena maana familia unayo ukioa mwingine watoto watapata shida mama wa kambo so, kaza kwenye ishu zako tuu, mwambie umemsamehe ilano mapenzi tena
 
Pole saana
First details za kampuni yako mpya usingeweka
huwezi jua nani anapita humu ...ukabadilishwak kitengo ukarudi yule yule

Pili kuhusu mkeo.....wewe ndo utaamua nini ukifanye hata ukimsamehe hakuna tatizo
wanawake sometimes wana taka mume uwe kama baba yake
umsamehe kila siku.....


Mwisho ni lazima sasa ujifunze makosa yako

mume sio kutoa mahitaji tu..unapaswa kujifunza bonding....
bonding na mkeo ilikuwa ndogo........hata ukioa mwingine yaweza tokea haya haya...

halafu waswahili wanasema 'bora kukosea kujenga nyumba kuliko kukosea kuoa'


Umeongea bonge la point kaka.
 
mpige chini huyo hata ukiugua ukawa huwez kufanya lolote atakuacha kitandani unakufa sio mtu mzuri shukuru mungu ulikua mzima wa.afya

Swadakta anampenda mshikaji kwenye raha tu kwenye shida anamtosa, fukuza kenge hiyo
 
Back
Top Bottom