Alininyanyasa sana nilipofukuzwa kazi, MUNGU ameniona, sasa yamegeuka

Miaka minne hakupi unyumba, bila shaka nje kuna mtu aliyemwona zaidi yako kwa kipindi hiko ndiye aliyekuwa anaishughulikia mbunye.

Kwa sisi wanaume yote yanavumilika, ila kugongewa mke kwa miaka minne huku wewe ukibaki na ukame wako,maumivu yake ni makali mno kwani mara nyingi yana ambatana na dharau, kiburi na matusi.

Yaani kwenye nyumba mwanaume ukitikisika kidogo kiuchumi halafu still mke wako anakuvumila jua una bahati sana kwani type hizo za wanawake zinazidi kutoweka.

Cha ajabu wapenda na kutamani sana kuolewa, kuliko kuvielewa viapo vya ndoa.

"Kwa dhiki na faraja, uzima na ugonjwa "

Huu mstari ndio ndoa yenyewe kama wanandoa wakiuishi huu mstari basi hata mpate msukosuko gani ndoa itatudum.
 
Back
Top Bottom