Alinilazimisha nitoe mimba


muwe mnajiangalia kwanza aisee,hadi watu wanakuja kujitambulisha ulikuwa hujafahamu tu jinsi alivyo?wengine wachawi,ualimu ni cover tu
 
HUYO JAMAA HAITWI oOMARI KWELI ALISOMA CHUO MAARUFU HAPA MUJINI
 
mama facebook mtoto kashazaliwa anakimbia nakuongea. ila siku yakujitambulisha ilikuwa bado hivyo tulivyogombana hakufika kwetu tena yaliiashia hapo
 
Usimpeleke huko!.nina mtoto wa uncle wangu upande wa mum wake wanamambo kama hayo kumbe akiwa mdogo cjui walimlisha v2 gan sisi 2kachukua mtoto akiwa na miaka 3 coz hajafunga ndoa na huyo uncle wangu sahv mtoto anasumbua mara akimbie aende makaburn,.anasema kuna wat wanamlazimisha kula nyama za wat sahv ni maombi 2 n anaendelea vzr
 
Haisee huwezi kuikwepa mikono ya mganga. Hajakuhitaji bado. Akikuhitaji tu lazima umfate mwenyewe.
 
Kwanza pole, nimejitahidi kukuelewa ulichotaka kukielezea.

Ila hivi inakuwaje unakuwa na mahusiano na mtu ambae hujajua hata mambo ya msingi kwake mf. Kazi, anakotokea n.k.


La mwisho uchawi ni imani inayorithishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine kwenye familia za wachawi. Ili kumuepusha mwanao mpeleke kwenye maombi sababu kama hautafanya hivo eidha watamrithisha au watamua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…