Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,075
- 6,774
kama kuloga angeloga tangia mimba.....acha uwoga.....
Shosti usijitie BP, kuanzia mimba mpaka mtoto kazaliwa wewe labda na family yako ndio mnamtizama huyo mtoto, sasa aende Kwa baba ili iweje? Ningekua wewe ningesha malizana mpaka na ukoo wake wote , haendi kuwaona wala sina story nao. Na hata akiwa mkubwa babangu Yuko wapi huyo utakae kua nae ndio babake Kwa kipindi hicho... Usifikirie bado mapema Sana ..
mi tushamalizana na ukoo wake nayeye tangu timbwili lakutoa mimba weee mtoto ana mwaka na miezi nane hata sura hamjui nilimwambia tangu mimba ya miez miwili asahau kama aliwah kunijua kanitishia nitamtafuta lakini siku zinavyoenda ndoo anafutika kabisa. thanx for your comment friends.
mtalingolo kama kuzaa hata mbwa anazaa. tangu tuachane nikaribu miaka mitatu. alijiamin nitarudi kwa hayo mauzauza yake nikaamua kusimama imara kwakuwa ushirikina nimakatazo ya m/mungu hawez tena kunifanya lolote.KULIKO MWANANGU AENDE KUFANYWA DAWA YA VIBUYU VYA UKOO NIMEJITOSA NTAKUFA NAE. NA MUNGU ANITIE NGUVU.
thanx. mafikizoko hata nlivyokataa kutoa nakuachana alinambia labda kama sio mwanaume nitamtafuta kws udi na uvumba.nkamwanbia yuko mungu asiyeoenda watu kama yeye atanipigania . and now am happy anaishia kutuma watu kuomba suluhu. afie mbali huko
Bas jibu simple ukijifungua akawa mkubwa usimpeleke kwa baba ake nenda nae kama kurogwa mrogwe wote na mwanao
Mganga wa kienyeji???aiseeee