Alinikataa sasa ananihitaji

Alinikataa sasa ananihitaji

alivyokukataa wakati ana mtu inamaanisha ni mwaminifu na ana msimamo hivyo anafaa kuwa mke. akili nyingine inapinga kufanywa reserve.
upload_2016-9-20_21-3-28.jpeg
upload_2016-9-20_21-5-5.jpeg
 

Attachments

  • upload_2016-9-20_21-4-38.jpeg
    upload_2016-9-20_21-4-38.jpeg
    6.3 KB · Views: 28
HUU UZI UTAKAKOENDA KUISHIA NA KULETA UZI MWINGINE NI KAMA WIMBO WA HUSEIN MACHOZI YANI KAFIA GETO
 
Huyo hafai kabisa ! Wapo wengine we-e-ngi! Kama alikuacha hujui hiyo miaka minne alikuwa na wengine wangapi
 
Kama alikuwa ana upendo na wewe angekukubali awali hata kama alikuwa na MTU angemwacha aje kwako. Huko mambo magumu anakuja kwako. Nikwambie haukuwa hata plan D kwake. Achana naye kabisa. Sijui ni kwa nini unapoteza nguvu kuuliza hapa.
 
Back
Top Bottom