Alinikataa sasa ananihitaji

Alinikataa sasa ananihitaji

Maisha yamekuwa magumu lazima aone mtu gani atamvusha katika kipindi hiki kigumu cha mpito wa kufedha
 
Mkuu usije kujaribu ujinga wa kurudiana na mtu. Tafuta mwanamke mwingine uoe. Miaka 4 imepita halafu bado unaamini anakupenda?
Huyo hakupendi ila kinacho mrudisha hana mtu. Wote waliomdanganya wameshamkimbia, kwahiyo ana ona ww ni dhaifu sana ndiyo maana amerudi.
Siku akimpata anayempenda na yupo tayari kuolewa lazima akupige chini.
Usikubali ndugu
 
Nafasi siwezi mpa, najua huyo atakuwa ndumilakuwili,
Mkuu ktk maisha yako usije kukubali kurudiana na mpenzi aliyekukataa
Utakuja juta.
Jamaa limesepa, ndiyo maana anakutafuta. Km jamaa lingekuwepo angekutafuta?
Miaka 4 mingi sana. Huyo kakosa pa kushika. Ikibid mblock kabsa
 
Mkuu usije kujaribu ujinga wa kurudiana na mtu. Tafuta mwanamke mwingine uoe. Miaka 4 imepita halafu bado unaamini anakupenda?
Huyo hakupendi ila kinacho mrudisha hana mtu. Wote waliomdanganya wameshamkimbia, kwahiyo ana ona ww ni dhaifu sana ndiyo maana amerudi.
Siku akimpata anayempenda na yupo tayari kuolewa lazima akupige chini.
Usikubali ndugu
Nashukuru mkuu, ushauri wako nimeuzingatia kwa 100%
 
Mkuu ktk maisha yako usije kukubali kurudiana na mpenzi aliyekukataa
Utakuja juta.
Jamaa limesepa, ndiyo maana anakutafuta. Km jamaa lingekuwepo angekutafuta?
Miaka 4 mingi sana. Huyo kakosa pa kushika. Ikibid mblock kabsa
Nashukuru mkuu kwa ushauri wako mzuri, hope nitauzingatia. Huyo ni wa kumwogopa kama ugonjwa wa ukoma!
 
Anataka kuja kupumzika baada ya mambo kumuendea kombo huko alikosema hawezi kutoka. Hali ikiwa shwari atakutia kidonda kabisa akisharudi kwa bwana wake, mwanzoni alikuumiza kidogo tu.
 
Mbona unakuwa mkali? May be unaweza ukawa ni wewe!
Mkuu
Wadada huwa km wana kaumoja hivi. Mwenzao akiwa na matatizo huwa km wanamtetea hivi. Yaan wanafananisha hii issue km yake.
Km unabisha ww angalau comment za wanawake.
Lkn ingine ndiyo man anataka kurudiana na mwanamke yaan wangeponda hao mpaka basi.
Wasamehe bure wanamtetea mwenzao lkn usikubali kurudiana huyo mwanamke.
Ukithubutu kurudiana naye utajuta
 
Wakuu wana forum hii,

Habarini za leo,

Kuna msichana mmoja nilimpenda sana na ni muda mrefu nilikuwa nikimfuatillia ili tuwe wapenzi na hatimaye tuoane ili tujenge familia lakini cha ajabu aliniambia kuwa yeye ana mpenzi na kamwe hawezi kumwacha kwa sababu ndiye atakayemuoa na anampenda sana. Nikaona isiwe shida nami nikawa nimekata tamaa.

Sasa ni miaka minne imepita, naona anaanza kunifuatilia na kujaribu kuwa karibu nami, ingawa mpaka sasa bado sijaoa.

Naombeni ushauri juu ya huyu binti!
Labda sasa una Vijisent mkuu
 
Anataka kuja kupumzika baada ya mambo kumuendea kombo huko alikosema hawezi kutoka. Hali ikiwa shwari atakutia kidonda kabisa akisharudi kwa bwana wake, mwanzoni alikuumiza kidogo tu.
Kwanza huyu, haitakiwi kumpa hata muda wa mazungumzo naye, ni habari, salama kwa heri!
 
Mbona unakuwa mkali? May be unaweza ukawa ni wewe!
Naona akipewa ushauri anajishaua hawezi kumpa nafasi,oooh hawez kuwa naye mara cjui vitu. Kama una majibu yote why are you coming here eti unaomba ushauri
 
Wakuu wana forum hii,

Habarini za leo,

Kuna msichana mmoja nilimpenda sana na ni muda mrefu nilikuwa nikimfuatillia ili tuwe wapenzi na hatimaye tuoane ili tujenge familia lakini cha ajabu aliniambia kuwa yeye ana mpenzi na kamwe hawezi kumwacha kwa sababu ndiye atakayemuoa na anampenda sana. Nikaona isiwe shida nami nikawa nimekata tamaa.

Sasa ni miaka minne imepita, naona anaanza kunifuatilia na kujaribu kuwa karibu nami, ingawa mpaka sasa bado sijaoa.

Naombeni ushauri juu ya huyu binti!
Kuna mambo mawili
1.labda alikuwa hakupendi ndo maana akaona bora awe uko kwa huyo jamaa ake na sahv maisha yamempiga anaona bora aje kwako
Au
2.alikuwa anaupendo wa dhati kwa aliekuwa nae xo na wewe ukiwa nae atakuwa na upendo wa dhati kwako
 
Back
Top Bottom