Alinidanganya kuwa ameenda kumtembelea dada yake kumbe ameenda kuolewa

Counter attack hii

Mkuu tafuta mtoto mkali usilielie fanya maisha
Hakikisha unakuwa na furaha hata ukikutana nae mpe hug za kibabe
 
Kuna kitu hukukielewa mkuu.

Duniani hapa mwanamke huolewa na mwanamme aliyetayar kuoa no matter anampenda au la,, ndio maana hutokea dem akaolea Kwa hiyar yake na jamaa lakin akaendelea kusex na sharobalo wake.
 
Nilikuwa na mwanamke wangu ambaye tulikuwa tunapendana naye sana, na tulikuwa tumepanga mwaka kesho tutaoana.

Ilikuwa mwezi wa wa 9 mwanzo mwanzo kule mwanamke wangu aliniambia kuwa sijui atasafiri kwenda South Africa kutembelea dada yake, maana dada yao ameolewa kule na atarudi mwezi wa 11 mwaka huu.

Mimi nikaona siyo kesi nikampa na baraka zangu mimi kama mume mtarajiwa. Kweli alisafiri, na baada ya kusafiri nikapoteza mawasiliano naye. Nikaona siyo mbaya mwezi wa 11 siyo mbali atakuja tu.

Sasa jana jioni kipindi napita pale maeneo ya kwao nikakuta kuna watu wengi, halafu kibaya zaidi nikasikia mtu mmoja anasema fulani anapendeza na mume wake. Walikuwa wanaangalia picha, mimi kusikia jina hilo mhh nikawa najiuliza kwani hapa kuna Deborah wangapi?

Nikaona labda wanazungumzia Deborah mwingine huyo. Sasa leo asubuhi kuna mwanangu alikuja nyumbani pale akawa anacheka na kuzungusha kichwa na mapole mengi mdomoni, nikamuuliza vipi ndugu yangu kwani kuna nini?

Ndiyo akaniambia ndugu yangu kwani wewe hujui chochote kuhusu Deborah? Mimi nikasema sijui mwanangu, Deborah aliolewa South. Mimi kusikia habari hiyo ndiyo nikapata picha sasa kuhusu yule Deborah niliyesikia jana kumbe alikuwa yeye!

Nilijikuta natokwa na machozi tu, nililia kama mtoto mdogo. Maana mimi na huyo mdada tulitoka mbali sana toka mwaka 2007 kipindi bado tunacheza michezo ya watoto mpaka 2022 ndiyo amekuja kuolewa na mwanaume mwingine, na mwaka 2023 ndiyo tulikuwa tumepanga kuoana.

Sasa hakika nimeumia sana, ndiyo nimekuja kugundua mwanamke siyo mtu wa kumuamini kabisa!
Kama unavyoitwa KWISHA, majina yanaongea mengi. Yamekwisha kwako na kwake pambana na hali yako, mtafute mwajuma ndala ndefuu mfunge pingu zenu
 
POLE SANA
Hakina debora ndivyo walivyo, mimi niliwai kushare dem mmoja na mshikaj, na dem alikuwa anatuchanganya kwa wakat mmoja jamaangu ndye aliyekuwa mmilik halal, lkn demu hakuwa na hofu, maajabu zaid nje ya kutulaghai sisi kumbe alikuwa na back-up ya kimchepuko chake tokea primary ambacho baada ya kutemana na sisi akabaki nacho.

Hawa viumbe usipokuwa makini utakufa siku si zako, cha msingi hakikisha una wapenzi wa chapuchapu si chini ya wa4 na zingatia unamiliki wapenzi wengine zaid ya"2" wa emergence kwaajili ya kureplace kati ya hao4 kwa atakaezingua.

Mlishaambiwa kataeni ndoa lkn hamsikii.
 
POLE SANA
Hakina debora ndivyo walivyo, mimi niliwai kushare dem mmoja na mshikaj, na dem alikuwa anatuchanganya kwa wakat mmoja jamaangu ndye aliyekuwa mmilik halal, lkn demu hakuwa na hofu, maajabu zaid nje ya kutulaghai sisi kumbe alikuwa na back-up ya kimchepuko chake tokea primary ambacho baada ya kutemana na sisi akabaki nacho.

Hawa viumbe usipokuwa makini utakufa siku si zako, cha msingi hakikisha una wapenzi wa chapuchapu si chini ya wa4 na zingatia unamiliki wapenzi wengine zaid ya"2" wa emergence kwaajili ya kureplace kati ya hao4 kwa atakaezingua.

Mlishaambiwa kataeni ndoa lkn hamsikii.
Ushauri wa kijinga Sana huu nadhani Ni wa kufungia mwaka
 
Wewe hata mmoja wa kummwagia ndani hauna
Alafu ndio maana mnapigwa shaba kwa maneno yenu makališŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£
Sasa hapa hatujuani unanituai hivyo šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£ nikiwa mumeo niliyefulia sii ndio utasema mwqnaume gani ata kunitomber vizuri huwezi šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom