aliniambia nichague mawili

Pole sana kwa haya yaliyokukuta, ki ukweli yanaumiza nafsi na akili pia. Ila naomba nikuulize yafuatayo pengine yanaweza kunisaidia kukushauri chochote ...
  • Chanzo cha tatizo ni nini?
  • Matatizo yenu yalianza baada au kabla ya ndoa?
  • Hii ilikuwa ni ndoa ya shinikizo au mliamua wote kwa kauli moja kuishi pamoja? (Shinikizo namaanisha mlilazimishwa kutokana na kupeana mimba, hali ya uchumi, kushawishiwa na ndg, jamaa, marafiki nk)
  • Mumeo kwa sasa ana mke au mwingine au umesikia fununu kuwa ana msichana nje?
  • Mumeo ana upendo na watoto?
  • Wazazi, viongozi wa dini au ndugu wa karibu wanajua situation mliyonayo kwa sasa? Waliamua nini?
  • Ukiacha watoto, kuna kitu kingine ambacho kinakulazimisha uendelee kuwa na huyo mume?
  • Unafikiria kuwa na mtu mwingine nje atakayekupa upendo wakati ukiwa ndani ya ndoa halali kitakupa faraja, au ndo kutakuingiza kwenye mafumanizi na kuhatarisha usalama wa maisha yako kabisa?

HP.
 
Si kawaida yangu kuchangia mada za mapenzi kwa kuwa sina moral authority, yangu yalishanishinda 14 years ago, lakini hili la leo limenivutia. Kwanza nakupongeza kwa uchaguzi wako, mimi ni wale tunaoamini kwamba baada ya miaka hiyo huhitaji kupendwa bali kuheshimiana. Ili mradi hakufanyii vituko machoni. Lakini badala ya kumlaumu mshukuru kwa kuwa mkweli kwako, hili ni kubwa sana katika mahusiano, na huyu kwangu ni mwanaume wa shoka, wanaume wengi wanafiki hawasemi ukweli wanafeki mahusiano wakati kumbe wanavutia hamu kupitia wanawake wengine. Jinsi ya ku move on ni rahisi, huhitaji an immediate replacement wala kumuonyesha vituko, ili kutompa sababu ya kukuacha maana ndicho anachotafuta. Wewe mkomeshe kwa kuonekana its alright to you, lea watoto wako utapata tu mtu wa kukuliwaza. Your situation is better than that of millions of women who pretend to be in happy relationships wakati wakijua wazi kuwa waume au wenzi wao wana date wanawake wengine, wanaogopa hata kuuliza status za relationship yao kwa kuogopa kuambiwa ukweli, they pretend, wako wengi wale wa wakina baba nanii this baba nanii that, na hata hao waume zao tunawaona barabarani wamekumbatia ving'atsy, na sisi tunawanyamazia lakini wakiondoka tunawalamba kisogo
 
za siku nyingi?????????
 
Wanawake mnapenda kujilegeza mno watoto umezaa mwenyewe watakushinda kulea. aibu ndo nn. eti ukimwi kwani yy hawezi kukuletea.
 
Majaribu ni mtaji, hilo ni pepo tu linapita.
Wanandoa wengi wanafanya maamuzi ya haraka bila kutambua kuna nguvu MAJARIBU haswa kwenye mambo ya ndoa.

Nitoe ushauri kwa wanandoa: Ukiona mko vizuri kwenye ndoa yenu usimsifu mumeo/mkeo bali endelea kumtukuza MUNGU na kuweka maombi ya akiba.
Usitoke nyumbani asubuhi bila KUMUOMBEA MWENZAKO. Pia jifunze kumwelewa mwenzako na kutokuuona udhaifuwake bali zungumzanaye mtie moyo, mshauri ktk usiyoyapenda, kumbuka mwovu shetani hapendi kuona ndoa iliyochanua.
KUMBUKA KUIOMBEA NDOA YAKO KILA SIKU IITWAYO LEO.







 


Pole mama kwa hayo mapito! Jambo la msingi timiza wajibu wako kama mke. Mpikie msosi mnono, mfulie nguo zake, mwite honey hata kama hakuna u-honey maana nyuki watukutu (vimada wa mmeo) wamekula honey yote.
Jiweke nadhifu. Onyesha upendo kwa mmeo ili muwape raha watoto wenu..(Think about your children)! My dear ipo siku Bwana Mungu atatenda jambo ambalo masikio hayataamini kusikia na macho hayataamini kitakachotokea...mmeo atarudiwa na fahamu zake na kuwa mume responsible!

 
matatizo mengine ni nguvu za giza tiba ya kiroho inapatikana kiroho zaidi,itafute.
 

asante kwa ushauri.yes ingawa nateseka kisaikolojia lakini physicaly huyu spouse wangu hanifanyii lolote baya.hajawahi kuniabuse na nahisi hatoweza, lakini ananinyima haki yangu sababu amenifunga kwahiyo nategemea kupata kila kitu kinachowezekana kwake, and am telling you despite 8 years of marriage i am still very young, tulikimbilia ndoa tu mapema lakini bado sana.what i am afraid asijeaakanza kuonyesha mapenzi mwili nao ukiwa umechoka itakuwa issue ingine tena.any way nipo kwenye ushauri wako.
 
Safi.Ushauri wa mke wa pili
 
Ng'ombe hazeeki maini.
Sie wanaume huwa tunachoka kununa.
jamaa atarudi tu.kaza roho.hata yeye anakutamani ila akikumbuka kosa lako ndiyo anajiuliza mara mbili mbili.
 

Tatizo mmoja wenu ni mbishi bila kuelewa. Hamzungumzi bali mnabishana tu utafikir CCM na CDM. Kaane muyazungumze yaliyopo mioyoni mwenu, dakika moja yaweza kubali mapenzi yenu.
 
 
Tatizo mmoja wenu ni mbishi bila kuelewa. Hamzungumzi bali mnabishana tu utafikir CCM na CDM. Kaane muyazungumze yaliyopo mioyoni mwenu, dakika moja yaweza kubali mapenzi yenu.

you know what umepatia kitu katika ushauri wako.lakini naona kuongea imeshindikana. after kuongea sana hilo ndiyo lilikuwa suluhisho letu, na cha ajabu ni kuwa tokea tumekubaliana hivyo hapo juu hatujawahi kugombana tena.coz it was like nilikuwa namforce anionyeshe mapenzi and now nimeacha kabisaa. so it is well for now lakini still i need love..
 
Uliambiwa uchague moja kati ya mawili na siyo uchague mawili. Na ndo maana humwelewi huyo spouse wako.
 

umenifurahisha mdondo, yes this hubby of mine yeye huwa hafichi hisia zake popote. yes siku tukiachana kwa upande mmoja atafurahi sana coz anasema anajishangaa sijui ilikuwaje mpaka akaoa,alikuwa ameplan kutokuoa.ukitoa maneno yake mabaya sana he is a good person and father.
 
Kwa ni na wewe huyo wa kukuchagulisha hilo gauni humpendi?
 

chanzo cha tatizo is anachukia ndoa na anamuonea huruma kila anayefunga ndoa.tatizo lilianza wiki tatu before marriage, milimkasirisha akaniambia isingekuwa tuko katikati ya maandalizi angehairisha hii ndoa.hakukuwa na shinikizo lolote,hana mwanamke mwingine yeyote wala hamna fununu, he is clean,anawapenda sana watoto,sana, a good father.his family members knows but hatujawahi kukaa kikao, hawezi kwenda he is so proud,walisema tuvumilie ndoa uvumilivu na inaichukia hiyo sentence.yes kipo kingine nahitaji mtoto wa tatu tu,na pia siwezi kuwa na mwanaume mwingine, sijui naonaje hivi, its hard thats why inabidi niendelee tu hapa.yes upendo wa nje hata siwezi siufikirii kabisa, ninaheshimika sana kwa watu siwezi kujitoa ufahamu hivyo.siwezi kabisa ni hatari sana.why nijifiche while now naexercise freely hadi wazee home kwetu wanajua na hawaji kunichuk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…