Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Pole bidada, maisha ya ndoa ni ya kuvumiliana. Mwombe sana Mungu naye atakuonyesha njia.
Pole sana kwa haya yaliyokukuta, ki ukweli yanaumiza nafsi na akili pia. Ila naomba nikuulize yafuatayo pengine yanaweza kunisaidia kukushauri chochote ...my 8 years spouse recently told me nichague mawili after never ending conflicts between us, tuachane au niendeleee kuishi naye lakini nikijua hanipendi...siyo kirahisi kama ambavyo unasoma hapa ilikuwa ni mtihani mgumu na kipindi cha majonzi sana, nilijuta na najuta kuwa na spouse wa aina hii na ndiyo tayari tulisema mbele za Mungu na binadamu ''till death do us apart''. unajua nini baada ya kufikiria sana, hasa watoto wangu na aibu ya karne nitakayoipata nikakubali kuendelea kuishi naye nikijua hanipendi.nikamwambia. alipigwa na butwaa hakujibu kitu siku hiyo baada ya siku akarespond akaniuliza je ni kweli nimeamua?nikamkubalia.akasema tuendelee, lakini u can imagine.. kama alivyosema hakuna mapenzi, no honey,sweet, baby things, no romance, no kubembelezwa wala kuchukuliwa kitofauti and everything is well, we laugh, twapiga story za maisha na watoto na siku zinaenda. ni ngumu lakini bado najiuliza nitasurvive? na huyu mtu ni kuwa ananiweka kwenye mazingira ya kutafuta upendo kwingine, yaani kama bomu flani hivi..nimekuwa nikipata vishawishi vya upendo/mapenzi ya nje,na ukweli ninauhitaji sana sana huo upendo, lakini nakumbuka kuhusu Mungu na mimi ni fan wake basi siyapi hata sekunde ya kuyaentertain,nafikiria ukimwi na ambavyo nitawaacha watoto wangu alone walelewe na na nani sijui naona nivumilie. kwahiyo naendelea mbele sijui nitaishia wapi lakini najua nitapata mapenzi siku moja.
za siku nyingi?????????Pole sana kwa haya yaliyokukuta, ki ukweli yanaumiza nafsi na akili pia. Ila naomba nikuulize yafuatayo pengine yanaweza kunisaidia kukushauri chochote ...
- Chanzo cha tatizo ni nini?
- Matatizo yenu yalianza baada au kabla ya ndoa?
- Hii ilikuwa ni ndoa ya shinikizo au mliamua wote kwa kauli moja kuishi pamoja? (Shinikizo namaanisha mlilazimishwa kutokana na kupeana mimba, hali ya uchumi, kushawishiwa na ndg, jamaa, marafiki nk)
- Mumeo kwa sasa ana mke au mwingine au umesikia fununu kuwa ana msichana nje?
- Mumeo ana upendo na watoto?
- Wazazi, viongozi wa dini au ndugu wa karibu wanajua situation mliyonayo kwa sasa? Waliamua nini?
- Ukiacha watoto, kuna kitu kingine ambacho kinakulazimisha uendelee kuwa na huyo mume?
- Unafikiria kuwa na mtu mwingine nje atakayekupa upendo wakati ukiwa ndani ya ndoa halali kitakupa faraja, au ndo kutakuingiza kwenye mafumanizi na kuhatarisha usalama wa maisha yako kabisa?
HP.
my 8 years spouse recently told me nichague mawili after never ending conflicts between us, tuachane au niendeleee kuishi naye lakini nikijua hanipendi...siyo kirahisi kama ambavyo unasoma hapa ilikuwa ni mtihani mgumu na kipindi cha majonzi sana, nilijuta na najuta kuwa na spouse wa aina hii na ndiyo tayari tulisema mbele za Mungu na binadamu ''till death do us apart''. unajua nini baada ya kufikiria sana, hasa watoto wangu na aibu ya karne nitakayoipata nikakubali kuendelea kuishi naye nikijua hanipendi.nikamwambia. alipigwa na butwaa hakujibu kitu siku hiyo baada ya siku akarespond akaniuliza je ni kweli nimeamua?nikamkubalia.akasema tuendelee, lakini u can imagine.. kama alivyosema hakuna mapenzi, no honey,sweet, baby things, no romance, no kubembelezwa wala kuchukuliwa kitofauti and everything is well, we laugh, twapiga story za maisha na watoto na siku zinaenda. ni ngumu lakini bado najiuliza nitasurvive? na huyu mtu ni kuwa ananiweka kwenye mazingira ya kutafuta upendo kwingine, yaani kama bomu flani hivi..nimekuwa nikipata vishawishi vya upendo/mapenzi ya nje,na ukweli ninauhitaji sana sana huo upendo, lakini nakumbuka kuhusu Mungu na mimi ni fan wake basi siyapi hata sekunde ya kuyaentertain,nafikiria ukimwi na ambavyo nitawaacha watoto wangu alone walelewe na na nani sijui naona nivumilie. kwahiyo naendelea mbele sijui nitaishia wapi lakini najua nitapata mapenzi siku moja.

Usi-expect so much katika maisha yako. Kuna watu wanalilia kupata Boyfriend, kuna wengine wanalilia kutamkiwa
uchumba, kuna wengine wanataka waambiwe ndoa kesho, Kuna wengine wanataka angalau mume apate uwezo wa kuleta chakula mezani, kuna wengine wanataka Waume zao wafufuke leo hata kama kuna wakati waliumizwa.
Matatizo ni changamoto za maisha, ukipata hiki unakosa kile. Maadam haku-abuse kwa kipigo au kutishia maisha
yako wewe ishi kwa furaha kama huna mpenzi lakini una mwenzi wa kusaidiana kulea Watoto, pengine ipo siku
utashangaa mambo yanabadilika. Siku hizi utazinguka kwa wangapi...............!
Safi.Ushauri wa mke wa pilipole sana,endelea kuwapa wanao kipaumbele ,hao ndio muhimu na wewe pima kama bado wana uhusiano mzuri na baba yao basi endelea kukaaa ila kama amebadilika hadi kwa watoto nakushauri uhame...is not healthy kukaa knny uhusiano kama huo,,,,,,,,,labda tangu mwanzo hamkuwa compartible ila mmetia ngumu mpaka mmekuwa wamoja,haya ndio madhara ya kulazimishia......mwisho kama una sex na huyo bwana tumia condom ingawa anaweza kuwa mkali na hili ila watoto bora wabaki na mzazi mmoja kuliko kuwapotezeni wote......ila mie nahisi ndoa yako ni ya mzungu hao bwana wako transparent akiwa hakuitaji ten a anakuwa muwazi usuke unyoe shauri lako,pole
Ng'ombe hazeeki maini.asante kwa ushauri.yes ingawa nateseka kisaikolojia lakini physicaly huyu spouse wangu hanifanyii lolote baya.hajawahi kuniabuse na nahisi hatoweza, lakini ananinyima haki yangu sababu amenifunga kwahiyo nategemea kupata kila kitu kinachowezekana kwake, and am telling you despite 8 years of marriage i am still very young, tulikimbilia ndoa tu mapema lakini bado sana.what i am afraid asijeaakanza kuonyesha mapenzi mwili nao ukiwa umechoka itakuwa issue ingine tena.any way nipo kwenye ushauri wako.
my 8 years spouse recently told me nichague mawili after never ending conflicts between us, tuachane au niendeleee kuishi naye lakini nikijua hanipendi...siyo kirahisi kama ambavyo unasoma hapa ilikuwa ni mtihani mgumu na kipindi cha majonzi sana, nilijuta na najuta kuwa na spouse wa aina hii na ndiyo tayari tulisema mbele za Mungu na binadamu ''till death do us apart''. unajua nini baada ya kufikiria sana, hasa watoto wangu na aibu ya karne nitakayoipata nikakubali kuendelea kuishi naye nikijua hanipendi.nikamwambia. alipigwa na butwaa hakujibu kitu siku hiyo baada ya siku akarespond akaniuliza je ni kweli nimeamua?nikamkubalia.akasema tuendelee, lakini u can imagine.. kama alivyosema hakuna mapenzi, no honey,sweet, baby things, no romance, no kubembelezwa wala kuchukuliwa kitofauti and everything is well, we laugh, twapiga story za maisha na watoto na siku zinaenda. ni ngumu lakini bado najiuliza nitasurvive? na huyu mtu ni kuwa ananiweka kwenye mazingira ya kutafuta upendo kwingine, yaani kama bomu flani hivi..nimekuwa nikipata vishawishi vya upendo/mapenzi ya nje,na ukweli ninauhitaji sana sana huo upendo, lakini nakumbuka kuhusu Mungu na mimi ni fan wake basi siyapi hata sekunde ya kuyaentertain,nafikiria ukimwi na ambavyo nitawaacha watoto wangu alone walelewe na na nani sijui naona nivumilie. kwahiyo naendelea mbele sijui nitaishia wapi lakini najua nitapata mapenzi siku moja.
Wanawake mnapenda kujilegeza mno watoto umezaa mwenyewe watakushinda kulea. aibu ndo nn. eti ukimwi kwani yy hawezi kukuletea.[/QU
ni watoto wawili ninawaweza coz despite ya yote na haraka zangu za ndoa wazazi walihakikisha namaliza shule na kujisimamia.so siyo najilegeza lakini ninapima mambo mengi then naendelea.yes aibu ndoa niliyoipigania leo inanishinda.about Ukimwi naamini hawezi kuniletea coz pamoja na majaribu yake yote anayonipa hana tabia ya hivyo kwa asimia 90%, na bora uletewe hutajihukumu sana utaishia kujutia na kumlaumu mwenzio na siyo nafsi yako.
Tatizo mmoja wenu ni mbishi bila kuelewa. Hamzungumzi bali mnabishana tu utafikir CCM na CDM. Kaane muyazungumze yaliyopo mioyoni mwenu, dakika moja yaweza kubali mapenzi yenu.
Si kawaida yangu kuchangia mada za mapenzi kwa kuwa sina moral authority, yangu yalishanishinda 14 years ago, lakini hili la leo limenivutia. Kwanza nakupongeza kwa uchaguzi wako, mimi ni wale tunaoamini kwamba baada ya miaka hiyo huhitaji kupendwa bali kuheshimiana. Ili mradi hakufanyii vituko machoni. Lakini badala ya kumlaumu mshukuru kwa kuwa mkweli kwako, hili ni kubwa sana katika mahusiano, na huyu kwangu ni mwanaume wa shoka, wanaume wengi wanafiki hawasemi ukweli wanafeki mahusiano wakati kumbe wanavutia hamu kupitia wanawake wengine. Jinsi ya ku move on ni rahisi, huhitaji an immediate replacement wala kumuonyesha vituko, ili kutompa sababu ya kukuacha maana ndicho anachotafuta. Wewe mkomeshe kwa kuonekana its alright to you, lea watoto wako utapata tu mtu wa kukuliwaza. Your situation is better than that of millions of women who pretend to be in happy relationships wakati wakijua wazi kuwa waume au wenzi wao wana date wanawake wengine, wanaogopa hata kuuliza status za relationship yao kwa kuogopa kuambiwa ukweli, they pretend, wako wengi wale wa wakina baba nanii this baba nanii that, na hata hao waume zao tunawaona barabarani wamekumbatia ving'atsy, na sisi tunawanyamazia lakini wakiondoka tunawalamba kisogo
Kwa ni na wewe huyo wa kukuchagulisha hilo gauni humpendi?kwa style hii na mie eti kesho nikachague wedding dress shoppers plaza,bado nipo nipo sana.POLE KWA YANAYOKUSIBU NA PIA NAKUPONGEZA KWA KUJIHESHIMU(KAMA MKE WA MTU NA PIA MAMA WA WATOTO KADHAA) PILI MWOMBE MUNGU AMBADILISHE MUMEO YAWEZEKANA PEPO LINAMSUMBUA,KUNA KIDUDU MTU KIMEMCHENGUA AU NI MSONGO WA MAWAZO NDO UMEPELEKEA AWE HIVYO BAADAE ATABADILIKA, MPE MUDA NDO UTAJUA MBIVU NA MBICHI KWANI SI KAWAIDA MTU FROM NOWHERE ATAMKE HIVYO KWA MTU ALIYEMPENDA HADI KUSIMAMA NAYE MADHABAHUNI
Pole sana kwa haya yaliyokukuta, ki ukweli yanaumiza nafsi na akili pia. Ila naomba nikuulize yafuatayo pengine yanaweza kunisaidia kukushauri chochote ...