Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,635
wanatumia kichwa cha chini
I can see
wanatumia kichwa cha chini
Acha kujitafutia stress Achana na huyo bwana
lea mtoto wako
Nipo mimi mwakilishi wake
Njoo PM.
hili ni jibu jepesi...maswali magumu juu ya jibu lako
1- dudu tamu utampa wewe?
2- mwenzako anataka kuolewa na hana bwana mwengine so akiachana naye atapata wapi wa kumuoa na ukichukulia ni nadra sana mzazi kuolewa na baba asiye mzazi mwenzie.
3- mtoto unaleaje bila baba na baba yake yupo
4- stress anazo na ndio maana anahitaji ushauri wetu.
kiufupi napinga majibu yako bado ni mepesi yanaacha maswali tata kwa wana jf kama sie.