Zainab j
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,816
- 2,372
Una mbwembwe mkuuSasa huna mbele wala nyuma kununua Altezza na wewe unataka bastola lazima uhisiwe jambazi.
Una mbwembwe mkuuSasa huna mbele wala nyuma kununua Altezza na wewe unataka bastola lazima uhisiwe jambazi.
Mbwembwe wanazo wamiliki wa bastola.Una mbwembwe mkuu
Kama chai kwa nini umetoa ushauri kama wewe sio mnafiki!
Nimekosa hata cha kucommentMiaka kadhaa iliyopita kabla sijafulia nikiwa kwenye kilele cha ukwasi niliopoa binti mmoja mtoto mzuri sana ila mpekupeku.wale wanawake ukienda bafuni unakuta kaishasoma sms zako zote na kaishakusachi,wale ukilala anachukua kidole chako anaweka kwenye simu ili kufungua biometric password,demu kwa nje mjanja ila sikuelewa ni ushamba au,nilitoka kidogo kwenda dukani one time kurudi nakuta kapekuapekua kabatini na mabegi mlango umerudishiwa, ameshakimbia,nikampigia simu jibu alikonipa sasa!!!Mungu anabipenda kumbe wewe ni jambazi unamiliki silaha .masikini ya Mungu ile silaha naimiliki kihalali kabisa na vibali vilikuwepo ila hakuviona na upekupeku wake.
Nilikutana nae miaka kadhaa akasema alihisi mi jambazi maana nilikuwa bado kijana ila nilikuwa na hela sanakama wewe mwenyewe hueleweki upoje upoje na hujulikani unafanya nini?tarajia wakuzungukao lazima wasikuelewe na ndio maana mtoto wa watu kajiongeza