Alimkimbia mke kwa miaka 31

Alimkimbia mke kwa miaka 31

Kama ana pesa, nitampokea kwa bashasha....
 
Miaka 31! alikuwa kafungwa?

Kuhusu hela huyo mama kazifukia noti zilipokuwa zinabadilishwa naye alikuwa anazibadili?
 
Mmmh jaman... Bora ukose Mali usikose akili
 
Miaka 31 mingi sana hiyo amevumiliaje asee mim ningempokea na maswali mia moja
 
Miaka 31! alikuwa kafungwa?

Kuhusu hela huyo mama kazifukia noti zilipokuwa zinabadilishwa naye alikuwa anazibadili?

alifukia kwa mda mfupi miaka hyo ya themanini siunajua zaman mwanaume anakuja nyumbanmwez wa kumi na mbili
 
Hadithi njoo... Utam koleaaaa....

mukubwa sio yakufikirika huyo mzee karudi mwez ulopita kaletwa na gar yenye namba za kenya kufika tu KICHUMINI(wale wachaga ntakuwa mmeelewa) hyo gari ikageuza mi natoka kazini naona gari inageuka ndo badae nasikia shangwe
 
Ndio tujifunze vijana wa sasa huyo bibi anajua nini maana ya ndoa mke mmoja mume mmoja kifo kiwatenganishe. kwanza alikuwa anamkumbuka mpaka kumpa pesa za kujenga nyumba? Pia huyo bibi bado aliweka heshima ya mume siwezi kujenga mpaka mumu wangu awepo, mume alipoludi hakukuta nyumba kwa hasil nadhani ndio akaondoka kaenda kutafakali ukooooooooooo mwisho wa siku karudi. MIMI NIMEPENDA HIYO WA DADA TUJIFUNZE UVUMILIVU.
 
kwel kama ni sifa ya uvumiliv ntaikosa tu ntazeekea kwangu tafakari miaka 31 achen unafiki kazeeka kaja kwa poyoyo limkokee moto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom