Alimanusura niuvae mkenge...!

Mwadunda

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,057
Reaction score
1,776
Habari wana MMU.....!
Mwenzenu bana nlivyokuwa chuo nilikuwa na rafiki wa kike ambaye nilizaa nae palepale chuoni haikuwa adhma yangu ila ilitokea,
baada ya kugraduate mapenzi y a simu ikabidi yahusike mwanangu alivyoacha kunyonya nikamchukua mawasiliano ya mimi na mzazi mwenzangu yalipungua sana,
Mwezi uliopita alianza kulalama sana cause almost one year hatujaonana,
Pia mama yake alikuwa amelazwa nikafunga safari hadi mkoani nikamgegeda mwenyewe, Ila siku ya pili yake asubuhi alinilazimisha sana tukapime, Tukapima mimi nilkuwa safi ila mwenzangu alikuwa ameambukizwa, Ikabidi mimi nirudie kupima cause nilimgegeda dry lakini bado majibu yalikuwa safi watalaam wakanishauri nikae wiki moja nirudi tena, Nlikuwa na wakati mgumu sana ila baada ya kupima tena nilikuwa safi,
huyu mzazi mwenzangu niliamua kuwa nae karibu nimfariji,
Kero sasa nisipompigia simu au nisipopokea simu yake analalama sana kuwa namfanyia hivyo kisa ana VVU, mimi najitahidi kumjali ila wapi nahisi nafsi yangu inaanza kumchukia please my lord hold me ila jamani hi inaudhi sana.......!
 
Funga nae ndoa mkuu, manake inaonyesha bado unampenda!
 
Unabahat sana ndugu. Mungu yuko pamoja na wew
 

daah,una bahati wewee,pole sana na pole yake mzazi mwenzio,mshukuru mungu,ana makusudi na wewe,muombee kwake apate matumaini mapya na endelea kuwa naye kariau ila usiwe na uhusiano naye wa kimapenzi
 
Subiri miezi mitatu ndipo ujiridhishe....unless sijaelewa vizuri hizo time frames.

They always say...incubation period of HIV ni at least three months...

Mwezi uliopita alianza kulalama sana cause almost one year hatujaonana,
....nikafunga safari hadi mkoani nikamgegeda mwenyewe
 
Subiri miezi mitatu ndipo ujiridhishe....unless sijaelewa vizuri hizo time frames.
Mkuu naona unamrudisha katika dimbwi la mawazo tena mwenzio alikuwa anakunywa na Bia!akijua yuko bieye
 
Mkuu naona unamrudisha katika dimbwi la mawazo tena mwenzio alikuwa anakunywa na Bia!akijua yuko bieye

Sijui kama wenzangu mmeelewa mtirirko wa muda hapo juu...
 
nikamgegeda mwenyewe, Ila siku ya pili yake asubuhi alinilazimisha sana tukapime, Tukapima mimi nilkuwa safi ila mwenzangu alikuwa ameambukizwa

Ukiyasoma haya maelezo kwa makini na tafakari nzuri...utagundua kuwa kuna uwezekano huyo mwanamke alikuwa anajua kabisa hali ya afya yake...
Kwa nini alizimisha upimaji wa afya siku ya pili tu baada ya kujamiiana nawe?

Kama kweli alikuwa ni mtu wa kujali afya yake kwa nini asingelikukatalia kufanya naye mapenzi hadi hapo mtapopima?
 
Kamanda funga nae ndoa bwana huyo anafaa sana na kwa mazingira ya kumfariji ni safi sana utamfariji kwa raha zaidi.
 
wiki tu kamanda unaona uko poa?? subiria miezi mitatu, mara nyingine mpaka mwaka ndio wadudu wanaweza onekana vizuri, halfu umrudie Mungu uwe unasali sana, acha ngono zembe kamanda
 
bora usingeleta hili swala lako hapa maana unaongeza stress tu...inabidi upime baada ya miezi 3 ndo ujiridhishe...
 
mwanamke hujaonana nae mwaka mmoja na bado unadiliki kufanya nae ngono bila kinga du,mkuu kosa kubwa umefanya.
 
Mkuu naona unamrudisha katika dimbwi la mawazo tena mwenzio alikuwa anakunywa na Bia!akijua yuko bieye

huo ndo ukweli mi mwenyew cjamwelewa yani afanye mapenzi jana alafu akapme leo asubuh au eti kawiki kamo kwani malaria hiyo?akae after 3 months aka retest! Loh namhurumia mtoto!
 

mi mwenyewe nimeshndwa kumwelewa mtoa mada! Yani hapo imekula kwake asijifariji arudi tena kuchek afya yake after 3 months kama ataleta uzi kama huu tena akipona hapo mungu wake mkubwa cjui kama ana elimu ya ukimwi huyo loh!!
 
Pole! Nakushauri anza kutumia kondom usimwambukze na huyo uliyenaye!
 

Inaonekana huenda alimtega makusudi ili wajiuguze wote, tabia mbaya hii!
 
huo ndo ukweli mi mwenyew cjamwelewa yani afanye mapenzi jana alafu akapme leo asubuh au eti kawiki kamo kwani malaria hiyo?akae after 3 months aka retest! Loh namhurumia mtoto!
Hata Malaria wiki moja unaweza usione kitu!
 
ngoja atarud after 3 months hapa jamvini ili aseme kuwa ameukwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…