Alikuwa binadamu kweli?

We ulikutana na jini tu, huenda hata ulipelekwa juu ya mti huwa inakuwa hivyo unapelekwa sehemu unakutana na watu ila siku ukija itafuta ukaiona utashangaa kila mtu anashangaa mbona hakuna mtu kama huyo
Unanitisha
 
Ile mail mliokua mnawasiliana akiwa aneenda Marekani ndiyo ingekua nzuri kumfuatilia, cha ajabu nayo imepoteza how comes ulikua unafuta msg zake? Ukienda kwenye list ya watu ulikua unachat nao utaipata lazima iwe pale, nani atakua ameifuta
Miaka kumi imepita
Na tuki la kwenda kwenye hiyo nyumba ni miaka sita imepita
 
Nakazia. Hasa kwa Dar. Hili lina nafasi kuuuubwa. Nashauri tulia anza upya kupekenyua mitaa ya huko,na kwingine nina uhakika tu ulipotea mtaa. Tafuta upya
Baadae napanga nirudi tena
 
Polee,, watu wa mtandaoni wakati mwingine siyo wenyewe!?

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hivi miaka ya nyuma kuna watu walikimbia vita kwa mitumbwi visiwa vya Comoro na wengi wakajikuta Tanzania?
Historia ya babake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…