Alikuwa binadamu kweli?

Alikua kitatanishi, kama hakupiga nahofu hakua mwanadam, kama alipiga ni mwanadam, viumbe vya kiroho hasa majini yanavumilia sana....
Hatukukutana sababu ya misimamo yangu.nidhamu ya shule
Nae pia aliniheshimu maamuzi yangu

Naamini alikua wa kawaida lakini pale kwao ndo pananipa maswali yasiyojibika
Hata kama aliomba mtu azugie wenye nymba wote hawakuwepo na kujua?hata vijana wa rika lake?

Alikua ananipa mpaka story za majirani na visa vyao na siku nlipoenda kwa Mara ya kwanza nlikuta wadada wamekaa jirani wanasukana.ina maana si kuna majirani walikua wanamwona hata alienda chooni wanamwona
 
Kuna uwezekano mkubwa sana ulisahau ukachanganya nyumba. Kuna baadhi ya mitaa imefanana sana
Hapana.
Njia ni ile ile moja.
Na nyumba ni ile ile mpaka mlangoni hadI mazingira nje.
Nlijaribu kwenda mbele zaidi baada ya kuwa na wazo kama lako but sikuona nyumba kama ile.
Na inapakana na duka limeandikwa mfano " kwa mangi shop"
Na duka nimelikuta liko vile vile hadI maandishi
 
Nina vitabu..calculators..na zawadi nyingine tulikua tunashare
Kaandika majina yake kwa juu
 
Hakua mtu, believe me, wana uwezo wa kukupeleka kwenye Maisha wanayotaka wao, wakiamua Kipi uone Kipi usione.....
Now they are Watching you, ukionyesha ku mmiss anaweza rudi kwenye Maisha yako anytime, the rest yakawa Majuto.
Unanitisha
 
Hakuna mtu asiye wa kawaida, inawezekana alikuwa deep state wa taifa hili au lingine, mafia, dealer, gaidi n.k. Dunia ina mambo mengi sana.
Namtafuta hat kwenye mitandao simuoni
 
Mara ya mwisho alisafiri kwenda mtwara
Akidai wazazi wake walienda huko so mamake anaumwa anaenda kumuona
Hongera dada Abigail Mungu wako alikukinga, nafikiri ulikuwa ukitembea na neema kubwa sana.
Mungu anakupenda sana hao viumbe hawajahi acha mtu salama.
Vipi lakini do you have feelings for men/ man na je mahusiano yako yakoje yamenyooka au kona nyingi(difficulties)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…