Alikuwa binadamu kweli?

Sawa..mpe hi jinn aliyekusaidia mawazo ya kunitukana hapa
 
Hahahaa utakuja unisindikize
 
Huyo alikuwa ni Secret Agent na huenda kweli alitoka Comoro au ni Mtanzania Mwenzetu. Alikamilisha kazi yake na kuondoka. Na mara nyingi wao ni mabingwa wa kubadilisha locations na namba za simu. Yaani hawana permanent phone number wakiwa kwenye mission. Na akimaliza Mission huteketeza namba zite za mawasiliano. Hivyo hakuna cha majini wala mdogo wake jini.
 
Huwa situkani bali huwa nampa mtu stahiki yake. Na hili ndilo nililo fanya hapa.
Ndiyo maana huwa tunawapa nasaha majini wanapo amua kuja kuchukua ujuzi kwetu sisi binadamu basi wasiwe wnafanya matukio ya ajabu, sababu huwa wanatuathiri sisi na mfano wake.
Haya naona umepewa nasaha na jini hapa utype hivo...maana mnapeana nasaha na kushirikiana na marafiki zako majin
 
Labda walibadili majina
Anasema babake alikimbia vita akiwa kijana zamani sana.so alivokuja huku akaweka makazi,nadhani majina alijipachika mapya ili wasitambue.
Nimehisi tu.
 
Mhh mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…